05/02/2021
Habari jamaa na marafiki wa familia ya michezo Smart Area Sports Club tunaomba kutangaza au kuarika timu yeyote kwa ajili ya mchezo wa kupimana nguvu ikiwa k**a sehemu ya kuimarisha undugu na urafiki wa familia ya michezo hasa wa mpira wa miguu
Ahsante sana
Send a message to learn more