29/08/2026
SIKU YA BURDAAN
Kesho mida ya alasiri tutakua tunakiwasha pale estadio de thika barracks dhidi ya Silver Hawks fc ๐ชโฝ๏ธ
Shughuli ya kesho ndio hii,najua haukua na fom na ndo maana thika veterans tuko hapa kuhakikisha unafurahi na unapata burdaaan ya kutosha kwenye wikendi yako ๐
Mapema ndio best siku zote ๐ช