Michezo Online News

Michezo Online News Timely updates on Sports News and events happening in Kenya and world at large

 Hivi ndivyo droo ya Kombe la masikio kubwa  la Uefa Champions League imeratibiwa.Na hivi ndivyo vilabu vya Uingereza vi...
27/08/2026



Hivi ndivyo droo ya Kombe la masikio kubwa la Uefa Champions League imeratibiwa.

Na hivi ndivyo vilabu vya Uingereza vitakavyomenyana.

 Chelsea hapo jana usiku waliwalima Fulham kwa mabao 3-2 uwanjani Craven Cottage.Kufuatia mechi hiyo ya jana usiku, hivi...
25/08/2026



Chelsea hapo jana usiku waliwalima Fulham kwa mabao 3-2 uwanjani Craven Cottage.

Kufuatia mechi hiyo ya jana usiku, hivi ndivyo jedwali la EPL linavyosimama hadi sasa.

 Haya ndio matokeo kamili ya mechi za EPL zilizochezwa hii leo.
23/08/2026



Haya ndio matokeo kamili ya mechi za EPL zilizochezwa hii leo.

 Matokeo mengine ya mechi za EPL zilizochezwa mapema leo.
22/08/2026



Matokeo mengine ya mechi za EPL zilizochezwa mapema leo.

  Man United wamepokea kichapo kitakatifu cha mabao 2-0 kutoka kwa Hull City uwanjani MKM Stadium.Mabao yote mawili ya H...
22/08/2026



Man United wamepokea kichapo kitakatifu cha mabao 2-0 kutoka kwa Hull City uwanjani MKM Stadium.

Mabao yote mawili ya Hull City yalifungwa na madifenda katika ungwe ya kwanza.

 Mabingwa Arsenal wamefungua msimu wa 2026/27 kwa kishindo baada ya kuwatandika Coventry City kwa mabao 3-0 ugani Emirat...
21/08/2026



Mabingwa Arsenal wamefungua msimu wa 2026/27 kwa kishindo baada ya kuwatandika Coventry City kwa mabao 3-0 ugani Emirates.

Hii ndio mechi ya kwanza ya Ligi ya Uingereza msimu huu 2026/27.

  Arsenal hii leo wamewapepeta Man City kwa mabao 3-0 ugani Wembley.Mechi hiyo ilikuwa ni ya ngao ya jamii inaashiria uf...
16/08/2026



Arsenal hii leo wamewapepeta Man City kwa mabao 3-0 ugani Wembley.

Mechi hiyo ilikuwa ni ya ngao ya jamii inaashiria ufunguzi wa ligi wiki ijayo.

  PSG ndio washindi wa Kombe la Super Cup baada ya kuwadengua Aston Villa kwa mabao 2.2 ugani Red Bull Arena mjini Salzb...
12/08/2026



PSG ndio washindi wa Kombe la Super Cup baada ya kuwadengua Aston Villa kwa mabao 2.2 ugani Red Bull Arena mjini Salzburg.

Mechi hii ya jadi unawakutanisha washindi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na Ligi ya Europa.

 Arsenal wamekamilisha usajili wa Christos Tzolis kutoka Club Brugge kwa kima cha £34m.Winga huyo amejiunga na klabu hiy...
23/07/2026



Arsenal wamekamilisha usajili wa Christos Tzolis kutoka Club Brugge kwa kima cha £34m.

Winga huyo amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka mitano na atavaa jezi namba 17 katika Uwanja wa Emirates.

Ni sura mpya katika kikosi cha Mikel Arteta huku mabingwa hao wa EPL wakiendelea kujiimarisha kwa ajili ya kutetea taji lao.

 Sasa ni rasmi Uhispania ndio mabingwa wa Kombe la Dunia 2026.Hii ni baada ya mabingwa hao wa Bara Ulaya kuwadengua Arge...
19/07/2026



Sasa ni rasmi Uhispania ndio mabingwa wa Kombe la Dunia 2026.

Hii ni baada ya mabingwa hao wa Bara Ulaya kuwadengua Argentina kwa bao 1-0 katika muda wa ziada.

Uhispania wameshinda Kombe la Dunia kwa mara ya pili sasa tangu waliposhinda mwaka 2010 wakiwa Afrika Kusini.

Address

Nairobi
00100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michezo Online News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category