12/04/2026
Imekuwa wakati mwafaka wangu kujiunga na kundi hili la Theatric Arts Ensemble. Kwa kweli kimenifunza mengi kutoka namna ya kuigiza , kuwa mwigizaji Bora .Nashukuru kwa nafasi niliyopata kwenye kundi hili. Nimejifunza mengi tu si uiguzaji pekee , Kuna ukakamavu , jinsi ya kuishi na watu , orodha ni ndefu. Asante sana Theatrix Arts Ensemble