Okoa Speciality Fc

Okoa Speciality Fc Training at annex ground
Head coach Janet Amunga
assistant Enock Wambua

Kesho tutakua wenyeji jidi ya NYALI Riders FC   Tupatane Kesho 25/11/2023      Saa 10:00am
24/11/2023

Kesho tutakua wenyeji jidi ya NYALI Riders FC
Tupatane Kesho 25/11/2023
Saa 10:00am

Limekufa jitu !!!!FT:Young Talent 1-2 Okoa Speciality
13/11/2023

Limekufa jitu !!!!
FT:Young Talent 1-2 Okoa Speciality

🚨MATCH ALERT 🚨🆚️YOUNG TALENT FC🗓13/11/2023🏟Miritini Primary Ground 🕘3:00pm
12/11/2023

🚨MATCH ALERT 🚨
🆚️YOUNG TALENT FC
🗓13/11/2023
🏟Miritini Primary Ground
🕘3:00pm

Wajukuu wabibi waliona haina haja ya kuharibu nauli kuja kushindwa .. alama tatu bila jasho kutoka
11/11/2023

Wajukuu wabibi waliona haina haja ya kuharibu nauli kuja kushindwa ..
alama tatu bila jasho kutoka

Mnawakumbuka Bangla Talent??? Haya basi,jumamosi hii tunawakaribisha nyumbani Annex Ground mida ya saa tisa jioni.mwendo...
09/11/2023

Mnawakumbuka Bangla Talent???
Haya basi,jumamosi hii tunawakaribisha nyumbani Annex Ground mida ya saa tisa jioni.
mwendo ni ule ule wa mateka ..
Waambieni tu waje vizuri

Jiunge nasi leo hii kumtakia heri ya kuzaliwa mpiga picha wetu  Happy Birthday Lanky Jay
06/11/2023

Jiunge nasi leo hii kumtakia heri ya kuzaliwa mpiga picha wetu
Happy Birthday Lanky Jay

04/11/2023

Big shout-out to my newest top fans! Peter Otieno, Kelly Reshy

22/10/2023

TODAY'S RESULTS
OKOA SPECIALITY 1-0 TUUNGANE FC
OKOA SPECIALITY 1-0 SOKIKI FC
kila mmoja alipata kidonge chake cha maumivu


Kesho tupatane pale Shanzu Harare Grounds  kwa ajili ya michuano ya Chapa Dimba.. Mapema ndio best
21/10/2023

Kesho tupatane pale Shanzu Harare Grounds kwa ajili ya michuano ya Chapa Dimba..
Mapema ndio best


We got a walk over today... Sijui ni nini waliogopa, anyway sio mbaya2goals +3points
20/10/2023

We got a walk over today...
Sijui ni nini waliogopa, anyway sio mbaya
2goals
+3points

And that's our today's line up...what are your predictions?
20/10/2023

And that's our today's line up...
what are your predictions?

HAPPY MASHUJAA DAY TO ALL KENYANS "Na tukae kwa undugu amani na uhuru"
20/10/2023

HAPPY MASHUJAA DAY TO ALL KENYANS
"Na tukae kwa undugu amani na uhuru"

Address

Shanzu
Mombasa

Telephone

+254726073729

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Okoa Speciality Fc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share