Ziwani Youth FC

Ziwani Youth FC Welcome to Ziwani Youth FC Official page
The Most Successful Club in Mvita.
”WekaDown.....Taptap”

27/01/2025

HALLLOOOO 👀

Ushindi mkubwa umepatikana hapa tukiwa nyumbani🏟️ZIWANI YOUTH 5 -0 MARIAKANI UTD
15/06/2024

Ushindi mkubwa umepatikana hapa tukiwa nyumbani🏟️
ZIWANI YOUTH 5 -0 MARIAKANI UTD

Siku ya Mechi
15/06/2024

Siku ya Mechi

It's MATCHDAY!!!
26/05/2024

It's MATCHDAY!!!

Habari za jioni wadau.Tunawtangazia usajili wa wachezaji kwa sasa imefunguliwa katika timu yetu hii ya Ziwani Youth Fc.K...
22/02/2024

Habari za jioni wadau.Tunawtangazia usajili wa wachezaji kwa sasa imefunguliwa katika timu yetu hii ya Ziwani Youth Fc.Kwa nafasi zilizoko ni;

*Left back
*Right wing
*Left wing
*Striker
K**a unachezea sehemu kati ya hizo unakaribishwa ufike katika uga(uwanja)wa Tudor primary .....siku ya jumanne tarehe 27,Feb,2024 majira ya saa nane na robo.
Coach mkuu Breik Kato Lila pamoja na wasaidizi wake ,..Bajella,Solo,Babaz,Baloteli,Abdulmlik Harith,n.k....watasaidiana kwa usajili huo.Munakaribishwa.Asanteni

14/02/2024

PAKA MSHIKE PANYA.......
JEDWALI LA LIGI YA FKF DIV2 NI K**A LIFUATAVYO..........

14/02/2024
13/02/2024

Habari zenu wadau......Natumai muwazima.Kwanza tunaomba radhi kwa kutoka nje ya mtandao kwa muda mrefu
Il tumerudi rasmi na habari moto moto.Ungana nasi ili ziikupite.Kwa sasa vijana wa ZIWANI YOUTH FC wameshikilia nafasi ya pili wakiongozwa na BUMBANI FC.
Wiki hii tunamalizia mechi yetu ya mwisho dhidi ya TAITA ESTATE FC kabla ya kuenda mapumziko.Jitahidi usikose,njoo uone kabumbu invyotembezwa uwanjani....Asanteni karibuni sana.

TUMEFUNGWA KWA MBINDEHapana kwa leo tusiongelee Mpira Poleni sana msijali yatapitaaaa yanamwishoooo.
14/01/2024

TUMEFUNGWA KWA MBINDE
Hapana kwa leo tusiongelee Mpira
Poleni sana msijali yatapitaaaa yanamwishoooo.

Nasemajeeeeeee...Kitakacho wakuta Shimanzifc  hawatakaa wasahau 😆
12/01/2024

Nasemajeeeeeee...Kitakacho wakuta Shimanzifc hawatakaa wasahau 😆

Kazi yakuwafunga hao tuachieni sisi. NEXT MATCH🆚 Shimanzifc.⌚ 3PM K.O 👊🏾🗓️ 14-1-24🏟️ MBARAKI STADIUM MOMBASA.
11/01/2024

Kazi yakuwafunga hao tuachieni sisi.
NEXT MATCH
🆚 Shimanzifc.
⌚ 3PM K.O 👊🏾
🗓️ 14-1-24
🏟️ MBARAKI STADIUM MOMBASA.

Huku Juu Kileleni Kuna Baridi sana, Mabingwa hua wanavumiliaje  Baridi lote hili, tena wanakaa peke yao🤔Ziwani Youth FC ...
09/01/2024

Huku Juu Kileleni Kuna Baridi sana, Mabingwa hua wanavumiliaje Baridi lote hili, tena wanakaa peke yao🤔
Ziwani Youth FC 2-1 Sango Sportiff Fc

Address

Ziwani
Mombasa
80102

Telephone

+254751494197

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ziwani Youth FC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ziwani Youth FC:

Share

Category