Mightyrock paulyen

Mightyrock paulyen Business

20/03/2023
Hei everyone mnaendelea aje ,back now  ad comment
19/02/2022

Hei everyone mnaendelea aje ,back now ad comment

hi my friends
10/01/2021

hi my friends

08/06/2020

Nilitamani kufa bingu na arthi ifunguke inibebe mimi ,nirundi tumbo ya mama yangu miezi tisa kixa anizae upya, naita kifo lakini kimenipotea nilikuwa mrembo miaka tano iliyopita lakini kwa sasa ,,, .ni maneno niliyasikia na msichana mmoja anaeitwa shalin .aliyaongea maneno yale akiwa na machungu sana huku akini2ma nindondokwe na machozi kwa kweli ali2ma niguzwe na stori yake. Nilimpa nguo yangu ajipanguze machozi huku akinilalia kifuani mwangu .nilijifanya mzuri kwake lakini ghafla tu alichomoa danga lake bila mimi kujua ,,,,,,wacha kwanza nikunywe maji

Address

Meru

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mightyrock paulyen posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mightyrock paulyen:

Share