19/11/2026
BENNI McCARTHY AMEONGEA. Na ameongea yote. π°πͺ
Harambee Stars coach Benni McCarthy finally amebreak silence juu ya mambo inayoendelea kwa team.
Na sio mambo madogo.
Baada ya hizo mechi mbili dhidi ya South Africa, Benni ameamua kusema ukweli wenye wengi walikuwa wanaogopa kusema.
1. MISHARA HAIJALIPWA π€
Benni amesema yeye na technical staff wake wamekaa miezi kadhaa bila kulipwa mshahara.
Anasema:
"My technical staff and I have also gone several months without being paid what we are owed."
Imagine unaitwa kazi ya kupeleka taifa AFCON, lakini mshahara haikuja. Unafanya kazi na tumbo? Na moyo tu?
2. WACHEZAJI WANATESeka π
Benni amesema wachezaji wamekuwa na shida na accommodation, chakula, na transport.
Anasema player akitwa kwa Kenya, anafaa kujua atapata:
β
Atakula vizuri
β
Atalala vizuri
β
Atasafiri na teammates wake
β
Atalipwa kile anastahili
"That's not a big ask."
Na ni ukweli. Hiyo sio kuomba sana. Hiyo ni minimum.
Benni anasema anataka wachezaji wake wa-thrive, sio tu ku-survive.
"I want them to thrive, not just survive."
3. ALLEGATIONS DHIDI YA GOALKEEPING COACH
Benni pia amemtetea goalkeeping coach wake, Moneeb Josephs, juu ya hizo allegations za racism.
Amesema hizo ni claims serious sana, hazifai kuripotiwa ovyo ovyo bila foundation.
Hiyo ni Benni akisimama na staff wake.
LAKINI BADO...
Despite kila kitu, Benni amesema bado anajivunia kuwa coach wa Kenya. Bado anaamini kwa hii team.
Amesema:
"Judge us when the dust has settled at AFCON 2027. I believe this team will make you proud."
Tafsiri yake ni: Musituhukumu sasa kwa hii fujo. Mtuhukumu AFCON 2027.
Sasa swali ni moja tu:
Benni anasema ukweli ama anatafuta excuse?
Kwa sababu k**a coach na staff hawajalipwa miezi kadhaa, na wachezaji hawali vizuri... tunatarajia matokeo gani kweli?
AFCON iko 212 days tu. Hii sio wakati wa vita za ofisi. Hii ni wakati wa kufix mambo.
Lipa coach. Lipa staff. Lisha wachezaji. Kisha tuwape pressure ya matokeo.
Benni, tuko nyuma yako. Lakini FKF, fanyeni kazi yenu. π°πͺ
Unamkubaliana na Benni ama unadhani ni excuse? π