Atletico Seals FC

Atletico Seals FC A Footballclub based in Katani, Syokimau, machakos county.


29/08/2026
Tumtume pale mavoko youth achukuwe ma starboys kathaa ama namna gani? Next season tunataka kujipanga..... One Atetwe Nal...
29/08/2026

Tumtume pale mavoko youth achukuwe ma starboys kathaa ama namna gani?
Next season tunataka kujipanga.....
One Atetwe Nalebe

Lakini tuambiane ukweli.. Hii league yetu ikiisha na izo 20 games nikama tumeokolewa na zile trips za Roadblock... Maybe...
29/08/2026

Lakini tuambiane ukweli.. Hii league yetu ikiisha na izo 20 games nikama tumeokolewa na zile trips za Roadblock...
Maybe another time ju nikama hii imetutoroka.

Mana bena Generalih Benaah huyu naye heri utoe inje upumzike pange ju ya panga. Part and parcel of our seals wall pale n...
29/08/2026

Mana bena Generalih Benaah huyu naye heri utoe inje upumzike pange ju ya panga.
Part and parcel of our seals wall pale nyuma.

Young boy Delton.. aka Delma. Boy not skipping leg day. Unyama kwa ujana.
29/08/2026

Young boy Delton.. aka Delma. Boy not skipping leg day.
Unyama kwa ujana.

29/08/2026

K**a unajua wewe ni winger ama 9, kuja tunakujitaji.
Leo hatupost kwa kizungu.

Kwao walitupiga na mamluki, wakanyang'anywa points na mabao. Kwetu walikuwa wamekuja revenge wakashindwa wakatoka na sho...
27/08/2026

Kwao walitupiga na mamluki, wakanyang'anywa points na mabao. Kwetu walikuwa wamekuja revenge wakashindwa wakatoka na shots 2 on target. Excuse ati players wao waliona Simba wakaenda kuwinda.

Sai wamejaa ngorii...
Wanacheza song za Kapungala tu..

Meet our new Social media Admin....... Jina labda uitishe number ueke mpesa...
26/08/2026

Meet our new Social media Admin.......
Jina labda uitishe number ueke mpesa...

Kitendawili? Amatuwache???? Okay sawa Mchezea Simba?????? K**a.....  Malizia.
26/08/2026

Kitendawili? Amatuwache????
Okay sawa Mchezea Simba?????? K**a..... Malizia.

Aaaaaah Si mkuje game zetu mtamuona.... seals yamapalapapa
26/08/2026

Aaaaaah Si mkuje game zetu mtamuona....
seals yamapalapapa

Address

Katani Road
Machakos

Telephone

+254722118597

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Atletico Seals FC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category