Mbavu destroyer

Call Contact the business

Mbavu destroyer πŸ˜‚ Memes, Savage Humor & Pure Vibes πŸ”₯
πŸ’ͺ Impossible Moves & Crazy Stunts
🀣 Comedy, Memes & Creative Edits
🎭 Fan-made Entertainment Am lyrically fit

Halo halo wakuu! K**a umeamka salama, basi deals zenu ziivane na mambo yenu yajipange! βœ…πŸ”₯Weka like tukisonga mbele … hak...
13/11/2026

Halo halo wakuu! K**a umeamka salama, basi deals zenu ziivane na mambo yenu yajipange! βœ…πŸ”₯

Weka like tukisonga mbele … hakuna kubororonja! πŸ’ͺ

Nimejaa ngori na siku ndiyo inaanza! 😀πŸ”₯

Leo menu ni special. Wengine wanakula nyama, mimi niko na minerals!
10/11/2026

Leo menu ni special. Wengine wanakula nyama, mimi niko na minerals!

K**a ningekuwa cartoon character, mngependa kuniita nani? πŸ”₯Jina lazima liendane na hii level ya ngori bana… hakuna majin...
09/11/2026

K**a ningekuwa cartoon character, mngependa kuniita nani? πŸ”₯

Jina lazima liendane na hii level ya ngori bana… hakuna majina ya kawaida! 😀πŸ’ͺ

Nipeeni majina kwa comments. Best name itakuwa official! πŸ‘€

Alo alo… Dimangerr ni Jamorrr East! **Nimejaa ngori na itakua mbayaaaaa!** πŸ”₯

You don’t need to conquer every battle to prove how strong you are. Sometimes, simply refusing to break, no matter how h...
03/11/2026

You don’t need to conquer every battle to prove how strong you are. Sometimes, simply refusing to break, no matter how hard life gets, is the biggest victory. But mimi nimejaa ngori, na hii safari itakua mbayaaaa! πŸ”₯

Kenya hakuna kazi rahisi. Leo nimeajiriwa kubeba tyres, kesho nitabeba uchumi mzima!
02/11/2026

Kenya hakuna kazi rahisi. Leo nimeajiriwa kubeba tyres, kesho nitabeba uchumi mzima!

Wengine wananunua gas kila mwezi. Mimi nimebeba stock ya mwaka mzima!ni mbaaya
01/11/2026

Wengine wananunua gas kila mwezi. Mimi nimebeba stock ya mwaka mzima!
ni mbaaya

Kung Fu yenu iko na belts. Yangu iko na mawe kwa headquarters!ni mbaaaya
31/10/2026

Kung Fu yenu iko na belts. Yangu iko na mawe kwa headquarters!
ni mbaaaya

Wengine wanatafuta balance kwa maisha. Mimi natafuta balance kwa jiwe moja!kata iyo kitu manyoya
30/10/2026

Wengine wanatafuta balance kwa maisha. Mimi natafuta balance kwa jiwe moja!
kata iyo kitu manyoya

Weak points zote nimefunga. Ukiuliza mahali pa kupiga, hata Google haitakusaidia!na itakua mbaayaa
29/10/2026

Weak points zote nimefunga. Ukiuliza mahali pa kupiga, hata Google haitakusaidia!
na itakua mbaayaa

Hii gari iko na horsepower. Mimi niko na ngori power. Twende finish line!
28/10/2026

Hii gari iko na horsepower. Mimi niko na ngori power. Twende finish line!

Address

Lodwar

Telephone

+254759728652

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbavu destroyer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mbavu destroyer:

Shortcuts

Share