24/11/2023
𝐒𝐚𝐬𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐥𝐚 𝐣𝐞𝐫𝐚𝐡𝐚:
Kiungo Mshambulizi 𝐁𝐞𝐣𝐚 𝐍𝐲𝐚𝐦𝐚𝐰𝐢, atafanyiwa upasuaji wa 𝐆𝐨𝐭𝐢, leo 𝐒𝐚𝐚 𝐧𝐚𝐧𝐞 𝐀𝐥𝐚𝐬𝐢𝐫𝐢, katika Hospitali ya The Aga Khan, Mombasa.
Kulingana na taarifa ya Daktari wetu, Ali Nizar, Beja alichukua jeraha na hatokawia sana baada ya kukikalia kisu.
Afueni ya Haraka Last Born. Lampard Mohammed