Mwamdudu United FC

Mwamdudu United FC This is the official page of Mwamdudu United Football Club est. in 2019 in Kasemeni Ward, Kinango Subcounty, Kwale County in Kenya.

The main aim of the club is to identify and nature talent and well being amongst youth and a tool against social vices.

  ya Dzivani Mshindi ety alipewe 3K 🤣🤣🤣Please   kila kona! Ila nasemaje: Majuto ni Mjukuu, Huja Baada ya Tukio!
05/01/2026

ya Dzivani Mshindi ety alipewe 3K 🤣🤣🤣

Please kila kona! Ila nasemaje: Majuto ni Mjukuu, Huja Baada ya Tukio!

04/01/2026

Jamaa ni Raha, Yaani Ndani Ya Mwezi Mmoja Nimebeba Makombe Mawili! Na si kikombe tu, kila Player wangu akapata Medani ya Shaba na tukapewa Hela Ndefu na Full Jersey! Asanteni Waandalizi! Asanteni Wadhamini! Magwaya Ndani k**anza Ngalaa Berumba Harrison Mangale mwachidzo

Mazeras walitusak**a saaana lakini k**a mjuavyo,   HATUPIGI MTU NA HATUACHI MTU! Tulipata Nafasi Moja na Tukaitumia Vizu...
03/01/2026

Mazeras walitusak**a saaana lakini k**a mjuavyo, HATUPIGI MTU NA HATUACHI MTU! Tulipata Nafasi Moja na Tukaitumia Vizuri!!!
Sisi ndio Mabingwa wa iliyoandaliwa na !!!!!
Asanteni Mashabiki Kwa Sapport, Asanteni Wapinzani kwa Ubishi!!!!

Hakuna mtu hakujia kwamba jana ilikua ni Harusi kati yangu na mchumba wangu SUPER ZIMENZU FC! Tatizo mchumba alikataa ku...
02/01/2026

Hakuna mtu hakujia kwamba jana ilikua ni Harusi kati yangu na mchumba wangu SUPER ZIMENZU FC! Tatizo mchumba alikataa kuja Kanisani! Padri akasema, “NANI KATI YENU YUPO TAYARI KUFUNGA NDOA NA ?” wakasema tupo Tayari sisi, Kwa shida kwa Raha! Tukazipiga, zangu ama Zake! Na ulikua mziki mgumu, lakini k**a kawaida yangu: SIPIGI MTU,SIACHI MTU! Kimoja Cha Uhakika? Nikalibeba Kombe! Sasa angebeba Mazeras jana na vile alikua ametusak**a, Saa Hii Mngesemaje??? Fixture kutoka Mwezi wa 11, Ilisema Harusi ni 1/1/2026 mpaka Serikali Ikajulishwa!!!
Makosa Yangu ni Nini???

Hatimae   inafikia kileleni siku ya alhamisi ambapo MSHINDA WA kwanza Hadi wa tatu atajulikana hio alhamisi hii nayo sio...
30/12/2025

Hatimae inafikia kileleni siku ya alhamisi ambapo MSHINDA WA kwanza Hadi wa tatu atajulikana hio alhamisi hii nayo sio ya kukosa....njoo ujishuhudie mwenyewe na macho yako bila ya kusimuliwa na mtu......

Weka ubashiri wako na mapema ,je mshindi WA kwanza itakua timu gani na bao ngapi ?

Mshindi mmoja atajishindia credit ya mia (100)

MASHART hakikisha comment yako Iko na likes nyingi na hakuna ku edit comment..

mchezo utachezwa uga wa Mwamdudu uga wa

 : Hon. Aisha Jumwa Katana aomboleza Kifo cha Mamake Mzazi 😭
28/12/2025

: Hon. Aisha Jumwa Katana aomboleza Kifo cha Mamake Mzazi 😭

Itabidi muzoee hii timu! Inaitwa Mwamdudu United FC
26/12/2025

Itabidi muzoee hii timu! Inaitwa Mwamdudu United FC

26/12/2025


QUARTER FINALS
FULL TIME
SISI 2 VS SEA FLAMES FC 0

Mujue mimi sifungwi mara mbili k**a  🙄So ambieni Kyoga waje k**a wameoga! Na ikiwezekana iyo game ichezwe asubuhi, ndio ...
25/12/2025

Mujue mimi sifungwi mara mbili k**a 🙄
So ambieni Kyoga waje k**a wameoga! Na ikiwezekana iyo game ichezwe asubuhi, ndio nimalizane nao na mapema mimi! Hii ni hata nyinyi mwanijua sitishwi na maji moto!!!

23/12/2025



FOLLOW Magwaya Ndani kwenye ubashiri wa match za Leo ujishindie shilingi mia tano(500)

23-12-2025

Magwaya Ndani kwenye ubashiri wa match za Leo ujishindie shilingi mia tano(500)

23-12-2025

Magwaya Ndani

Wadau game ya  na Fulugani ni Leo saa Saba! Mujitokeze kwa wingi uwanjani! Acha wanitafutie mtu nitacheza naye fainali p...
23/12/2025

Wadau game ya na Fulugani ni Leo saa Saba! Mujitokeze kwa wingi uwanjani! Acha wanitafutie mtu nitacheza naye fainali please!

Mimi najua niko fainali, niambieni mwenye nitacheza naye!
22/12/2025

Mimi najua niko fainali, niambieni mwenye nitacheza naye!

Address

Mwamdudu
Kwale

Telephone

+254795843960

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwamdudu United FC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category