01/08/2026
CLASH OF THE HEAVYWEIGHTS
WAFCON 2026
Nigeria W vs Zambia W
11pm EAT
KBC Channel 1 TV LIVE
Mara ya mwisho kukutana Nigeria waliipiga Zambia 5-0
Zambia wanaingia katika mechi hii wakijivunia ushindi wa 6-0 vs Egypt katika mechi yao ya ufunguzi
Nigeria nao wanakuja kujirudi baada ya kipigo cha 3-2 mikononi mwa Malawi
Hii ni kali