15/09/2024
Wapi mashabiki...tukutane Dec panapo majaliwa ya Allah pale makonjeni ground ya youngstar's fc tukipigania kombe na huku tukimkumbuka kijana wetu ambae amekuwa muenda A.k.a ngozi kijana hodari kwa kufunga au kushuti mikwaju...Allah ailaze roho yake mahali pema peponi...InshaAllah amiiin