06/10/2025
Mr.. Nonchalant🔥🔥👍
Sasa ni international break Kila ligi imesimama kupisha ratiba za mechi za kimataifa na Kila mchezaji kaenda kuungana kambini na kikosi chake cha timu ya taifa Kwa ajiri ya mechi za kimataifa
Wachezaji baadhii hawajaweza kuungana na timu zao kutokana na majeraha ambayo yatapelekea wao kukosa mechi za break hii ya FIFA wachezaji hao NI K**a Federico Valvede,Lamine Yamal, Alexander Anord,Noni Madueke,Jamal Musiala, N.k
Wachezaji wengine hii inakuwa mara Yao ya Kwanza kuitwa katika timu zao za taifa Yani inakuwa first debut Kwao wakiitumikia timu zao za taifa wachezaji hao NI K**a Kijana mdgo wa man city Nico O'Reilly ambae kaitwa baada ya nyota wa England kupata majeraha.Mwingine ni Jean-Phillipe Mateta ambae ni Kwa mara ya Kwanza kaitwa katika taifa la Ufaransa