Budu B sport newz 24 hrz

Budu B sport newz 24 hrz sports anlysis and updates

BREAKING NEWZLigi kuu nchini Italy maarufu k**a Serie A kurudi jumamosi ya tarehe 20 June 2020 .Soka linaelekea kurudi b...
28/05/2020

BREAKING NEWZ
Ligi kuu nchini Italy maarufu k**a Serie A kurudi jumamosi ya tarehe 20 June 2020 .
Soka linaelekea kurudi barani ulaya👈

Budu B sport newz 24 hrz

BREAKING NEWZPremier league kurudi Jumatano tarehe 17 June 2020 .source Goal.com  Budu B sport newz 24 hrz
28/05/2020

BREAKING NEWZ
Premier league kurudi Jumatano tarehe 17 June 2020 .
source Goal.com
Budu B sport newz 24 hrz

Mechi imemalizika hivo Dortmund wametoka kifua mbele dhidi ya Schalke 04 mabao yakifungwa(Halland⚽,Guerero⚽⚽,Hazard⚽)
16/05/2020

Mechi imemalizika hivo
Dortmund wametoka kifua mbele dhidi ya Schalke 04 mabao yakifungwa(Halland⚽,Guerero⚽⚽,Hazard⚽)

Erling Halaaaaaaaaaaand Goaaallllllmin 29Dortmund 1 schalke 0
16/05/2020

Erling Halaaaaaaaaaaand Goaaallllll
min 29
Dortmund 1 schalke 0

Ligi kuu ya nchini Ujerumani maarufu k**a  BUNDESLIGA kuendelea leo baada ya kusimamishwa takribani mwezi mmoja .
16/05/2020

Ligi kuu ya nchini Ujerumani maarufu k**a BUNDESLIGA kuendelea leo baada ya kusimamishwa takribani mwezi mmoja .

Back in Business   support yako muhimu
15/05/2020

Back in Business

support yako muhimu

Mashindano ya Euro 2020 yamesogezwa mbele mpaka June 2021ili kuepusha kusambaa kwa virusi vya Corona.😥😥😥 Mungu tuepushe ...
17/03/2020

Mashindano ya Euro 2020 yamesogezwa mbele mpaka June 2021ili kuepusha kusambaa kwa virusi vya Corona.
😥😥😥 Mungu tuepushe na janga hili 🙏🙏🙏

jinsi corona ilivoharibu furaha yetu wana michezo huu mwaka umeanza vibaya 😥😥😥💔💔 mungu tuepushe na janga hili.
13/03/2020

jinsi corona ilivoharibu furaha yetu wana michezo huu mwaka umeanza vibaya 😥😥😥💔💔 mungu tuepushe na janga hili.

Maneno ya kocha wa wolves "Nuno" kuhusu Corona.
13/03/2020

Maneno ya kocha wa wolves "Nuno" kuhusu Corona.

BREAKING NEWZBeki wa Manchester City Benjamin Mendy Yuko katika uangalizi binafsi baada ya mtu mmoja katika familia yake...
13/03/2020

BREAKING NEWZ
Beki wa Manchester City Benjamin Mendy Yuko katika uangalizi binafsi baada ya mtu mmoja katika familia yake kukutwa na virusi vya Corona. Mungu tunusuru na janga hili 🤲🤲🤲.
source (sky sport).

BREAKING NEWZkocha wa Arsenal Mikel Arteta na mchezaji wa Chelsea Hudson Odoi wamekutwa na virusi vya covid-19,ndo wanak...
13/03/2020

BREAKING NEWZ
kocha wa Arsenal Mikel Arteta na mchezaji wa Chelsea Hudson Odoi wamekutwa na virusi vya covid-19,ndo wanakua wanamichezo wa kwanza kukutwa na virusi hivo nchini Uingereza,kuna uwezekano wa ligi ya Uingereza kusimamishwa.
Mungu tuepushe na janga hili

Yanga wakubali kichapo cha bao moja kutoka kwa vijana wa Kinondoni KMC ikumbukwe yanga wametoka kumpiga Simba jumapili i...
12/03/2020

Yanga wakubali kichapo cha bao moja kutoka kwa vijana wa Kinondoni KMC ikumbukwe yanga wametoka kumpiga Simba jumapili ilopita"wanachukua point kwa matajiri wanagawa kwa maskini" ushujaa wa yanga huo

Address

London

Telephone

+255711452463

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Budu B sport newz 24 hrz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share