Westham Fc

Westham Fc This page is about the development of my team which founded in TANGA Kange

22/10/2018

Westham chama la masela linawatakia mashabiki zake wote siku njema ya leo

09/11/2017

Mafans wa Westham nina habar habar yenyewe ni kuwa mwez wa 12 westham inapokea wachezaji wa kuja kufanya majaribio ila utajitegemea kila kitu kasoro pakulala tu

15/09/2017

Westham Fc chama la masela oyeeee coz chama linatarajia kuingia kwa ligi ya Tanga Cup tuombeane mungu

19/07/2017

Fc inajiandaa kuenda kukipiga na Jkt Maramba siku ya jumapili dua zenu kwa westham ni muhimu


《《《》》》 Moudy ßaharia wa nchi kavu ♡♡♡☆☆☆

  ulikuwa ni muda wa matuta almaarufu mapenati  Hapo ndipo   ilipoibuka kuwa mshindi katika uwanja wa kange stadium
03/04/2017

ulikuwa ni muda wa matuta almaarufu mapenati Hapo ndipo ilipoibuka kuwa mshindi katika uwanja wa kange stadium

karibuni   kuja kujumuika nao mazoezi
11/07/2016

karibuni kuja kujumuika nao mazoezi

Vijana wa kasera walipokuwa wakipambana Jana na matokeo ni sare ya bila kufungana
25/06/2016

Vijana wa kasera walipokuwa wakipambana Jana na matokeo ni sare ya bila kufungana

24/06/2016

Leo kasera heroes inacheza na jiji katika uwanja wa lamore mida ya saa Tisa kamili

19/05/2016

jamani mechi imeahirishwa sijajua tatizo nini wadau

18/05/2016

Ijumaa tunacheza wadau ndani ya mkwakwani stadium kwahiyo tunaomba dua zenu kwa sana wadau

22/04/2016

leo tumepata ushindi mwembamba wa goli moja kwa bila ila chamsingi ni pointi tatu

17/04/2016

Amakweli mungu ni muweza wa yote timu yetu inaendelea vizur inshaallah tutatimiza ndoto zetu

Dirección

Puebla De Alcocer

Teléfono

+255654759563

Página web

Notificaciones

Sé el primero en enterarse y déjanos enviarle un correo electrónico cuando Westham Fc publique noticias y promociones. Su dirección de correo electrónico no se utilizará para ningún otro fin, y puede darse de baja en cualquier momento.

Contacto La Empresa

Enviar un mensaje a Westham Fc:

Compartir

Categoría