Kakubilo Youth Junior

Kakubilo Youth Junior Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kakubilo Youth Junior, Sports Club, Kakubilo,Geita,Tanzania, Guangzhou.

Timu ya vijana yenye ndoto kubwa na moyo wa ushindi! 🌟
Tunashirikisha vipaji vya vijana, kukuza ujuzi wa mpira, na kuunda wachezaji wenye nidhamu, mshik**ano, na mapenzi ya mchezo.
🎯 Lengo: Kuunda vizazi vya wachezaji bora na kushirikisha furaha ya mpir

Tunashukulu kwa sapot yenu bila nyie tusinge weza kufanikisha mmejitokeza kwa wingi na kutupa motisha ya kushinda japo m...
19/05/2026

Tunashukulu kwa sapot yenu bila nyie tusinge weza kufanikisha mmejitokeza kwa wingi na kutupa motisha ya kushinda japo mchezo ulikua mgum.tunawaomba muendelee kusapot timu yenu had final πŸ™πŸ™πŸ™

Kesho ni siku ya kazi!Timu ipo tayari kupambana na kutoa burudani ya kweli ndani ya uwanja πŸ’ͺ⚽Tunawaomba mashabiki wote m...
18/05/2026

Kesho ni siku ya kazi!
Timu ipo tayari kupambana na kutoa burudani ya kweli ndani ya uwanja πŸ’ͺ⚽
Tunawaomba mashabiki wote mjitokeze kwa wingi kutusapoti mpaka dakika ya mwisho.
Pamoja tuna nguvu, pamoja tunaushindi! πŸ”₯πŸ†


🀲🀲🀲🀲Follow   βš½πŸ™ Tusaport ukulasa wetu πŸ™
16/05/2026

🀲🀲🀲🀲
Follow ⚽
πŸ™ Tusaport ukulasa wetu πŸ™

KAKUBILO UNITED inaendelea na maandalizi ya mwisho kuelekea kwenye ligi ya MAGILO CUP inayotarajiwa kuanza tarehe 19/5/2...
14/05/2026

KAKUBILO UNITED inaendelea na maandalizi ya mwisho kuelekea kwenye ligi ya MAGILO CUP inayotarajiwa kuanza tarehe 19/5/2026 katika uwanja wa Mashabala Stadium.
Timu itatumia zaidi ya 60% ya wachezaji wazawa kuhakikisha tunatoa burudani nzuri na ya kuvutia kwa mashabiki wetu wote.
Wanatimu wote mkae tayari kwa mapambano makubwa na ushindani wa hali ya juu. Safari imeanza, nguvu moja kuelekea mafanikio! ⚽πŸ”₯





Mchezo wetu wa ki rafiki umemalizika kwa suluhu ya kufungana kulikua na buludani isiyo na kufan
07/05/2026

Mchezo wetu wa ki rafiki umemalizika kwa suluhu ya kufungana kulikua na buludani isiyo na kufan

Waache waje
07/05/2026

Waache waje

Paschal mabiba a.k.a duduGonga like k**a unamkubali
21/04/2026

Paschal mabiba a.k.a dudu
Gonga like k**a unamkubali

12/12/2025

β€œHata kipindi kigumu kina mwisho. IGAYO JR endelea kupambana, goli linakuja tu. Kiwango chako kinajulikana, muda wako utang’aa tena. Stay strong champion! πŸ’ͺ⚽πŸ”₯”

πŸ”₯ Bonanza limewaka! Vijana wetu wapo uwanjani wakipambana kwa nguvu, nidhamu na kushow talent ya hali ya juu. Hii ni kaz...
10/12/2025

πŸ”₯ Bonanza limewaka! Vijana wetu wapo uwanjani wakipambana kwa nguvu, nidhamu na kushow talent ya hali ya juu. Hii ni kazi si bahati! ⚽πŸ’ͺ "

πŸ™βš½ Wapenzi wa michezo, naomba sapoti yenu!Ukurasa huu tumeuanzisha ili kuonyesha maendeleo ya wachezaji wetu, habari za ...
09/12/2025

πŸ™βš½ Wapenzi wa michezo, naomba sapoti yenu!
Ukurasa huu tumeuanzisha ili kuonyesha maendeleo ya wachezaji wetu, habari za timu na kila kinachoendelea kwenye game.
Follow, like na share ili tuendelee kukua pamoja.
Sapoti yenu ndiyo msingi wa safari hii! πŸ’›

Address

Kakubilo,Geita,Tanzania
Guangzhou

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kakubilo Youth Junior posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category