Penalty Kings Tanzania

Penalty Kings Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Penalty Kings Tanzania, Sports, 1900 Rue desilets, Quebec, QC.

Kubwa kuliko
10/05/2025

Kubwa kuliko

Wai sasa kuchukua nafasi ya timu yako kushiriki kwenye mashindano bora na pendwa ya Anabel Penalty King awamu ya pili.Ku...
09/23/2025

Wai sasa kuchukua nafasi ya timu yako kushiriki kwenye mashindano bora na pendwa ya Anabel Penalty King awamu ya pili.
Kumbuka nafasi ni chache.

Na usisahau kuja na ada ya usajili.

09/23/2025

Sans pardon vs M1 Noir penalty king league

Penalty king is back
09/21/2025

Penalty king is back

09/21/2025

M'mochuπŸ˜€πŸ˜ƒ

⚽ Penalty King is back!Mara hii tumekuja kuvingine πŸ’₯Uzuri wa Anabel penalty king ni Ushindi wa wazi bila ubishi!Hapa hak...
09/19/2025

⚽ Penalty King is back!
Mara hii tumekuja kuvingine πŸ’₯
Uzuri wa Anabel penalty king ni Ushindi wa wazi bila ubishi!
Hapa hakuna timu kubwa au ndogo, kila mmoja ana nafasi ya kuwa bingwa! πŸ†

08/20/2025

Penalty ya sami kutoka tendance vs academie

08/20/2025

I got over 10 reactions on one of my posts last week! Thanks everyone for your support! πŸŽ‰

Kaeni mkao wa kula.Hivi karibuni Anabel itakwenda kuanzisha ligi, msimu wa pili wa Anabel Penalty King hapa nyumbani yen...
08/20/2025

Kaeni mkao wa kula.
Hivi karibuni Anabel itakwenda kuanzisha ligi, msimu wa pili wa Anabel Penalty King hapa nyumbani yenye dau kubwa.

Tuwe tayari!!!!

08/17/2025

πŸ”₯πŸ† HISTORIA IMEANDIKWA! πŸ†πŸ”₯
Timu ya Nyota Kali imekuwa ya KWANZA duniani kushinda mashindano ya ANABEL PENALTY KING! πŸŽ‰βš½
Safari yao imeonyesha ujasiri, nidhamu na morali ya ushindi.
Hongereni mashujaa wetu wa kwanza wa dunia! πŸŒπŸ‘

πŸ‘‰ Hii ni mwanzo wa enzi mpya ya Penalty King League – dunia nzima sasa itasoma historia ikianzia hapa.

Address

1900 Rue Desilets
Quebec, QC
G1J1A8

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Penalty Kings Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category