Paul YVES

Paul YVES Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Paul YVES, Sport & recreation, Kanyosha.

14/11/2025
14/11/2025
12/12/2022

Luka Modric! Ni k**a moyo wake ulitengenezwa kwa chuma halafu miguu yake ikaumbwa kwa kokoto, Mungu akainyoosha vema kwa Rula!

Zaidi ni kwamba leo alitembea uwanjani na ubongo wa fundi anayemuhusudu sana Zinedine Zidane. Kwenye kiungo cha Croatia amecheza kwa moyo mkubwa sana huyu Mbosnia🙌

Kuna muda Brozovic alionekana kuzidiwa lakini Modric alimpa tabasamu mdogo wake na kutembea nae. Kuna muda Kovacic alikosa pa kupita, Modric akamfungulia mlango na kumuonesha njia

Casemiro, Lucas Pacquieta Neymar, hata na Fred aliyeingia baadae, walijaa katika mifuko yake. What a man🙌

Luka Modric appreciation post 🤝

📝

12/12/2022
23/04/2022

Je suis avec vous

Address

Kanyosha
75724119

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Paul YVES posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share