Bobby Sports

Bobby Sports Kwa Update Nyingi Sana Za Soka La Ulaya NA Africa,Tetesi ,Matokeo Na Habari Nyingi Zinazo Husu Soka⚽
(1)

03/09/2026

GOAT 🐐 LIONEL MESSI 🙌🏽🐐 MPIRA HAUKUDAI

🚨 Mshambuliaji wa PSG 🇫🇷 na timu ya Taifa ya Spain 🇪🇸 Ferran Torres ameweka wazi kuwa uamuzi wake wa kuondoka Barcelona ...
03/09/2026

🚨 Mshambuliaji wa PSG 🇫🇷 na timu ya Taifa ya Spain 🇪🇸 Ferran Torres ameweka wazi kuwa uamuzi wake wa kuondoka Barcelona na kujiunga na Paris Saint-Germain akisema ni hatua kubwa sana katika ustawi wa taaluma yake ya soka.

"Uamuzi wangu wa kujiunga na PSG ni HATUA KUBWA katika taaluma yangu. Nimesogea mbele zaidi"

Mashabiki wa Barcelona hawajaridhishwa na kauli ya mshambuliaji huyo wakiamini kuwa amewakosea na anapaswa kuomba radhi.

Yale yale ya Enzo Fernandez na Chelsea, yameenda kwa Ferran Torres na Barcelona 😂

FOLLOW US

🇧🇷Estevão amewaambia watu wake wa karibu kwamba anahisi hatapata nafasi nyingi za kucheza chini ya Alonso.Anapendelea ku...
03/09/2026

🇧🇷Estevão amewaambia watu wake wa karibu kwamba anahisi hatapata nafasi nyingi za kucheza chini ya Alonso.

Anapendelea kucheza katikati, na hatapenda kushindana na Neto kwenye nafasi ya pembeni kwa sababu atalazimika kuongeza uzito wa misuli, jambo ambalo anaamini litapunguza uwezo wake wa kusogea kwa wepesi na kuathiri mtindo wake wa uchezaji.

Estevão anaipenda Chelsea na anataka kuendelea kubaki klabuni hapo, lakini k**a hatapata nafasi nyingi za kucheza, kuna uwezekano akaanza kufikiria kuhusu kuhama mwezi Januari.

(Renato Senise kupitia ESPN Brasil)

FOLLOW US

Viongozi wa Young Africans Sports Club walijaribu kuwasiliana kwa mara ya kwanza na Mwandishi nguli wa Michezo duniani k...
03/09/2026

Viongozi wa Young Africans Sports Club walijaribu kuwasiliana kwa mara ya kwanza na Mwandishi nguli wa Michezo duniani kutoka nchini Italia Fabrizio Romano (33) kuona k**a kunauwezekano wakutangaza jezi zao. Masharti aliyowapa yalikua hivi. K**a Young watahitaji Fabrizio apost kwenye mitandao yake mikubwa ikiwemo Instagram na Twitter, basi Young watoe kiasi cha USD 1Million ambazo ni zaidi ya Billion 2 za kibongo.

Young wamefanya Bargaining hadi USD 200k ndipo mwamba akawaambia akawaambia hakuna shida ila jambo lenu nitaliachia Live na Ista story.

FOLLOW US

Huyu Fabrizio wa siku Hizi nae kuna Watu watasema njaa tuu 😅 Wengine washamuita Chawa 🙌🏽🤣 ILA YANGA DAH
03/09/2026

Huyu Fabrizio wa siku Hizi nae kuna Watu watasema njaa tuu 😅 Wengine washamuita Chawa 🙌🏽🤣

ILA YANGA DAH

🚨 Gabriel Jesus 🇧🇷: “Nilikubali kupunguziwa mshahara ili niwe hapa. 💙❤️Lakini kwangu, jambo muhimu zaidi ni kupata nafas...
03/09/2026

🚨 Gabriel Jesus 🇧🇷: “Nilikubali kupunguziwa mshahara ili niwe hapa. 💙❤️

Lakini kwangu, jambo muhimu zaidi ni kupata nafasi ya kucheza Barça.

Ni fursa ambayo sikutarajia kuwa nayo mwezi mmoja uliopita.”**

FOLLOW US

BREAKING 🔵: Klabu ya Chelsea FC imefanya mawasiliano masaa machache yaliyopita na mchezaji wa zamani wa Liverpool FC rai...
02/09/2026

BREAKING 🔵: Klabu ya Chelsea FC imefanya mawasiliano masaa machache yaliyopita na mchezaji wa zamani wa Liverpool FC raia wa Uholanzi 🇳🇱 Georginio Wijnaldum ili wamsajili k**a mchezaji huru.

Kwasasa Wijnaldum hana timu yoyote....

Source: [ SaintJ_FM ]

FOLLOW US

Filipe Luis ameipa PSG sifa kubwa, akisema Monaco wanakutana na “moja ya timu bora zaidi katika historia ya soka.”Aidha,...
02/09/2026

Filipe Luis ameipa PSG sifa kubwa, akisema Monaco wanakutana na “moja ya timu bora zaidi katika historia ya soka.”

Aidha, amemtaja Luis Enrique kuwa “kocha bora zaidi duniani”, akimsifu kwa uwezo wake wa kuongoza kikosi, haiba yake na namna anavyosimamia klabu kubwa.

“Namuheshimu sana Luis Enrique. Anaonyesha wengine jinsi ya kusimamia wachezaji na kuongoza timu kubwa,” alisema Filipe Luis.

FOLLOW US

🏆 Viwango vya nguvu vya Ballon d’Or 2026 kulingana na Independent:1. 🇪🇸 Rodri2. 🏴🇬🇧 Harry Kane3. 🇪🇸 Lamine Yamal4. 🇫🇷 Ky...
02/09/2026

🏆 Viwango vya nguvu vya Ballon d’Or 2026 kulingana na Independent:

1. 🇪🇸 Rodri

2. 🏴🇬🇧 Harry Kane

3. 🇪🇸 Lamine Yamal

4. 🇫🇷 Kylian Mbappé

5. 🇦🇷 Lionel Messi

6. 🇫🇷 Ousmane Dembélé

7. 🇳🇴 Erling Haaland

8. 🏴🇬🇧 Jude Bellingham

9. 🇫🇷 Michael Olise

10. 🇧🇷 Vinícius Júnior

👀 Je, unakubaliana na viwango hivi?

FOLLOW US

🚨 RASMI! PIERRE-EMERICK AUBAMEYANG AMETANGAZA KUSTAAFU KUSHIRIKI TIMU YA TAIFA! 👋🇬🇦Waliwahi kunibeza  na kulichafua jina...
02/09/2026

🚨 RASMI! PIERRE-EMERICK AUBAMEYANG AMETANGAZA KUSTAAFU KUSHIRIKI TIMU YA TAIFA! 👋🇬🇦

Waliwahi kunibeza na kulichafua jina, licha ya kuwa nilicheza AFCON nikiwa nimeumia. Hili ndilo lililofanya uvumilivu wangu ufike mwisho, hivyo nimeamua kuishia hapa.” 😔

FOLLOW US

Address

Kayanza Street
Bujumbura

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bobby Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bobby Sports:

Shortcuts

Share

Category