10/05/2026
๐ฉธ Breaking News: GIRUMUGISHA Jean Claude๐ง๐ฎ, kuelekea Ufaransa๐ซ๐ท kwenye majaribio.
Magazeti ya nchini Burundi na nchini Rwanda yanaripoti kua Winga wa Klabu ya Al Hilal Omdurman๐ธ๐ฉ,yuko mbioni kuelekea Ufaranaa kufanya majaribio katika moja ya vilabu vya ligi kuu huko League 1.
inasemekana Klabu ya OGC Nice ao Lille