McGarćia

McGarćia EDIBILY NDAWALA🥰. NJOMBE FINEST; SAUT GRADUANT 2025.
(5)

07/09/2026

Straika wangu mzimbabwe ameitwa timu ya taifa 🤩

🚨 Baadhi ya mashabiki wameipa Mamelodi Sundowns ⚪️🟡 mbinu ya kumzuia Junior Deon asifunge dhidi yao 😂🔥Je, unakubaliana n...
07/09/2026

🚨 Baadhi ya mashabiki wameipa Mamelodi Sundowns ⚪️🟡 mbinu ya kumzuia Junior Deon asifunge dhidi yao 😂🔥

Je, unakubaliana nao? 👀

Young Africans, Simba SC, Azam FC

Ukomavu ni nini?Ni pale ambapo timu inapopitia wakati mgumu na kupata matokeo mabaya, lakini wachezaji hawakati tamaa. W...
05/09/2026

Ukomavu ni nini?

Ni pale ambapo timu inapopitia wakati mgumu na kupata matokeo mabaya, lakini wachezaji hawakati tamaa. Wanasimama pamoja, wanavumilia presha, wanapambana na kuendelea kuamini mchakato mpaka kuirejesha timu kwenye mstari.

Wachezaji wa Young Africans Sports Club wana ukomavu mkubwa wa fikra.

05/09/2026

Young Africans Sports Club 🤩

05/09/2026

Mwanaume Lautaro

05/09/2026

Inter jeshi, sindio?🥺

05/09/2026

Man.city ameshinda! Sawa.. Wewe ulimpaje? Au ndo over 2.5 😳

Wakati mechi zinaanza saa 8 mchana, hapa kulikuwa na majamvi 07. Sasahivy nayaona manne. 😂😂Sio muda yatakuwa mawili
05/09/2026

Wakati mechi zinaanza saa 8 mchana, hapa kulikuwa na majamvi 07. Sasahivy nayaona manne. 😂😂

Sio muda yatakuwa mawili

05/09/2026

Over 1.5 hapa kwa akina Tottenham Hotspur tunaenda kuumia😳

Sehemu ya muhimu wanayoenda kunufaika Young Africans Sports Club dhidi ya Gaborone United usiku wa leo.Mpaka sasa, ligi ...
05/09/2026

Sehemu ya muhimu wanayoenda kunufaika Young Africans Sports Club dhidi ya Gaborone United usiku wa leo.

Mpaka sasa, ligi kuu ya Botswana 🇧🇼 imechezwa kwa mzunguko mmoja tu, namaanisha kila timu imecheza mchezo mmoja tu. Wakati Ligi Kuu ya NBC imeshaenda mpaka michezo mitano

Yanga imeshapata “match fitness” mapema, Wakati Gaborone United wamecheza mechi chache za ligi, Yanga tayari imepata dakika nyingi za ushindani. Hii inawasaidia wachezaji kuingia kwenye kiwango kizuri cha intensity wakati huu wa hatua za mwanzo TotalEnergies CAF Champions League

Address

Bloemfontein

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when McGarćia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share