NdumaiSports24

  • Home
  • NdumaiSports24

NdumaiSports24 Home of football and other sports. Docomentary&interview of players all over the world. This is NDUMAI SOCCER

Leicester city nao Wamoo  Leicester city wamekamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa wa ubelgiji PRAET Kutoka klabu ya ...
08/08/2019

Leicester city nao Wamoo

Leicester city wamekamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa wa ubelgiji PRAET Kutoka klabu ya Samprodia kwa Ada ya Paundi million 18 na mkataba wa miaka 5
⚽⚽👍

EVERTON KUMEKUCHAAA..! Klabu ya Everton imekamilisha Usajili wa kiungo Alexander iwobi kutoka kwenye klabu ya Arsenal kw...
08/08/2019

EVERTON KUMEKUCHAAA..!

Klabu ya Everton imekamilisha Usajili wa kiungo Alexander iwobi kutoka kwenye klabu ya Arsenal kwa Dau linalokadiriwa kutoka €40 million na Amesaini Mkataba wa miaka 5. Kocha wa Everton Marco Silva awesome iwobi alikua ndio chaguo Lake namba moja kwenye Dirisha hili la usajili..

⚽⚽👍

LUIZ MSHIKA MTUTU KAMILI Klabu ya Arsenal imekamilisha usajili wa Beki wa kati David Luiz kutoka Chelsea Kwa Mkataba wa ...
08/08/2019

LUIZ MSHIKA MTUTU KAMILI

Klabu ya Arsenal imekamilisha usajili wa Beki wa kati David Luiz kutoka Chelsea Kwa Mkataba wa miaka 2 na Ada ya Paundi million 8


⚽⚽👍

London kumeeleweka... Klabu ya arsenal imekamilisha usajili wa Beki wa kushoto kutoka klabu ya Celtic kwa mkataba wa mia...
08/08/2019

London kumeeleweka...

Klabu ya arsenal imekamilisha usajili wa Beki wa kushoto kutoka klabu ya Celtic kwa mkataba wa miaka 5 kwa Ada ya £25 Million
⚽⚽👍

🚨 | BIG ANNOUNCEMENTAliyekua mchezaji wa Manchester United romelu Lukaku amejiunga Rasmi na klabu ya Inter millan kwa Ad...
08/08/2019

🚨 | BIG ANNOUNCEMENT
Aliyekua mchezaji wa Manchester United romelu Lukaku amejiunga Rasmi na klabu ya Inter millan kwa Ada ya Paundi million 73 na Kusaini mkataba wa miaka 5. Je unadhani Manchester United wamefanya Biashara sahihi..?

Romelu Lukaku is an Inter player! 🇧🇪⚫🔵



⚽⚽👍

SARR NDANI YA WATFORD..!  Mshambuliaji wakimataifa wa Senegal ismail sarr amejiunga rasmi na klabu ya Watford kwa Rekodi...
08/08/2019

SARR NDANI YA WATFORD..!

Mshambuliaji wakimataifa wa Senegal ismail sarr amejiunga rasmi na klabu ya Watford kwa Rekodi ya klabu ya €30 million
Five-year deal ✅
Club record fee ✅
Squad number 23 ✅



⚽⚽👍

IMESHINDIKANA..! Dili la Paul Dybala kutoka Juventus kutua Totenham limegonga mwamba Mara baada ya Miamba iyo ya Turin k...
08/08/2019

IMESHINDIKANA..!

Dili la Paul Dybala kutoka Juventus kutua Totenham limegonga mwamba Mara baada ya Miamba iyo ya Turin kuamua kutimiza. Source (BBC Sport)

⚽⚽👍

Klabu ya Yanga leo itacheza mchezo wake wa mwisho wa kirafiki kabla ya Kuanza mashindano ya kimataifa wikiendi hii dhidi...
08/08/2019

Klabu ya Yanga leo itacheza mchezo wake wa mwisho wa kirafiki kabla ya Kuanza mashindano ya kimataifa wikiendi hii dhidi ya Township rollers kwenye uwanja wa Taifa.
⚽👍

Klabu ya West ham United imekamilisha usajili wa Mshambuliaji Albian Ajeti kutoka Fc basel ya uswizi  kwa Ada ya £8 mill...
08/08/2019

Klabu ya West ham United imekamilisha usajili wa Mshambuliaji Albian Ajeti kutoka Fc basel ya uswizi kwa Ada ya £8 million na mkataba wa miaka 4. Source (BBC news)


⚽👍

Klabu ya Watford inaamini inaweza kumsajili Winga wa kimataifa wa Senegal na timu ya Rennes ya Ufaransa kabla ya dirisha...
08/08/2019

Klabu ya Watford inaamini inaweza kumsajili Winga wa kimataifa wa Senegal na timu ya Rennes ya Ufaransa kabla ya dirisha kufungwa kwani washawatuma wawakilishi wao nchini Ufaransa kwa ajili ya mazungumzo ya Usajili huo . Source (Sky sports)


⚽👍

Kiungo wa kimataifa wa Argentina DE celcio Yupo njiani kufanya Vipimo vya Afya kwaa Ajili ya Kujiunga na Totenham hotspu...
08/08/2019

Kiungo wa kimataifa wa Argentina DE celcio Yupo njiani kufanya Vipimo vya Afya kwaa Ajili ya Kujiunga na Totenham hotspurs kwa Ada ya Paundi million 55 inayoweza kuongezeka mpaka £60 million . Source (Sky sports)


⚽⚽👍

Klabu ya Chelsea imekubali Kumuachia David Luiz kujiunGa na Arsenal hivyo David anategemewa kupimwa afya Masaa Machache ...
08/08/2019

Klabu ya Chelsea imekubali Kumuachia David Luiz kujiunGa na Arsenal hivyo David anategemewa kupimwa afya Masaa Machache yajayo. ⚽

Address

P. O Box 225 Bagamoyo

Telephone

719695305

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NdumaiSports24 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NdumaiSports24:

  • Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility?

Share