Geita Basketball league

  • Home
  • Geita Basketball league

Geita Basketball league Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Geita Basketball league, Sports League, .

Bado masaa machache tukutane uwanjani. Hakuna Kiingilio, mkaribishe rafiki amkaribishe rafiki.Mahali : Jimboni  VTCMuda:...
20/12/2025

Bado masaa machache tukutane uwanjani.

Hakuna Kiingilio, mkaribishe rafiki amkaribishe rafiki.

Mahali : Jimboni VTC
Muda: 10:00 jioni.

Familia ya Wanabasketball yazulu nyumbani kwa HASSAN SAI. Ambayo iliyoongozwa Mwenyekiti wa Chama Cha mpira wa kikapu mk...
10/03/2025

Familia ya Wanabasketball yazulu nyumbani kwa HASSAN SAI. Ambayo iliyoongozwa Mwenyekiti wa Chama Cha mpira wa kikapu mkoani Geita, Ndg. Eric Rumbagi. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Ndugu. Deodatus Mnazi, Mratibu wa Ligi ya Mkoa Ndg. Adam Mayeye na baadhi ya wachezaji katika uwakilishi kutoka team ya Mpira wa kikapu ya Mkoa wa Geita ambapo Marehemu alihudumu k**a mchezaji na mwanachama hai wa shirikisho hilo, pamoja team ya mpira wa kikapu ya Mgodi (GGML)

Aidha, tukio hilo liliambatana kufika nyumbani kwa Mama wa Marehemu na kutoa neno la Faraja na uwasilishaji wa salamu za rambirambi, kuzulu mahali alipopumzishwa Mpendwa wetu. Kisha kucheza mchezo wa kirafiki na Home team ambayo alikuwa akiichezea Marehemu enzi za uhai wake, Musoma Heroes.

Tunamshukuru Mama, Ndugu na Marafiki wa Marehemu waishiyo Musoma kwa mapokezi mazuri, hakika mlitukarimu.

K**a Chama, Vilabu vya mpira wa Kikapu Mkoani Geita, Mashabiki na Wadau mbalimbali wa mchezo huu, hatuna budi Kumshukuru Mungu maisha ya Ndg. HASSAN, na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu akupe pumziko la Milele....

Pumzika kwa Amani, HASSAN SWAI.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Geita Basketball league posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility?

Share