MatchDay TZ

Contact the business

MatchDay TZ ⚽ Welcome to MatchDay TZ! | Karibu MatchDay TZ!

Your trusted source for the latest football news, live match updates, transfer news, fixtures, results, statistics, and expert analysis from Tanzania and around the world.

10/10/2026

🚨💚 PACOME AINGIA UWANJANI KUWAPA POLE WACHEZAJI WA YANGA! 😔⚽

Baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Simba, Pacome Zouzoua aliingia uwanjani kuwapa pole wachezaji wa Yanga. 🤝💚💛

💬 Unaonaje kitendo hiki cha Pacome baada ya matokeo ya dabi? 👇

📌 Follow MatchDay TZ kwa habari na updates zote za soka!

🚨🇳🇬 NIGERIA YATOA DROO YA MABAO 3-3 NA RUSSIA! 😱🔥Super Eagles wamelazimishwa sare ya 3-3 na Russia 🇷🇺 katika mchezo wa k...
06/10/2026

🚨🇳🇬 NIGERIA YATOA DROO YA MABAO 3-3 NA RUSSIA! 😱🔥

Super Eagles wamelazimishwa sare ya 3-3 na Russia 🇷🇺 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa, baada ya Russia kusawazisha dakika za mwisho. 😳⚽

Mchezo ulikuwa na drama hadi filimbi ya mwisho, huku timu zote zikionyesha soka la kushambulia na kutengeneza burudani kubwa kwa mashabiki. 🔥🦅

⏱️ FULL-TIME: Nigeria 3-3 Russia 🇳🇬🤝🇷🇺

💬 Umeonaje huu mchezo? Nigeria ilistahili kushinda? 👇

📌 Follow MatchDay TZ kwa habari na updates zote za soka la Afrika na duniani!

🎓🇦🇷 KUANZIA SASA, NI DAKTARI LIONEL MESSI! 😏🔥Lionel Messi ametunukiwa shahada ya juu ya heshima (Honorary Doctorate) kut...
06/10/2026

🎓🇦🇷 KUANZIA SASA, NI DAKTARI LIONEL MESSI! 😏🔥

Lionel Messi ametunukiwa shahada ya juu ya heshima (Honorary Doctorate) kutoka University of Buenos Aires. 🎓🇦🇷

Uamuzi huo uliidhinishwa kwa kauli moja, huku chuo kikitambua mchango wa Messi, mafanikio yake na namna alivyoiwakilisha Argentina katika soka duniani. 👏⚽

💬 Daktari Messi 🎓😏 — unampa heshima gani kwa mafanikio yake? 👇

📌 Follow MatchDay TZ kwa habari na updates zote za soka duniani!

🚨🇲🇷 IBRAHIM KEITA AJIUNGA NA AL-SADAQA YA LIBYA! ✍️🔥Mchezaji wa Mauritania 🇲🇷 Ibrahim Keita amejiunga na klabu ya Libya ...
06/10/2026

🚨🇲🇷 IBRAHIM KEITA AJIUNGA NA AL-SADAQA YA LIBYA! ✍️🔥

Mchezaji wa Mauritania 🇲🇷 Ibrahim Keita amejiunga na klabu ya Libya Al-Sadaqa, akianza ukurasa mpya wa maisha yake ya soka baada ya kuondoka Espérance de Tunis. 🟡⚫

💬 Hivi Young Africans 🔰 Simba SC 🦁 Hawakuiona hii mali? 👀🔥

📌 Follow MatchDay TZ kwa habari na updates zote za usajili na soka la Afrika!

🚨🇦🇷 “GRACIAS 10” — ARGENTINA YAMPA HESHIMA MESSI! 🥹⚽Sanamu kubwa yenye umbo la jezi ya Argentina 🇦🇷 na ujumbe “GRACIAS 1...
06/10/2026

🚨🇦🇷 “GRACIAS 10” — ARGENTINA YAMPA HESHIMA MESSI! 🥹⚽

Sanamu kubwa yenye umbo la jezi ya Argentina 🇦🇷 na ujumbe “GRACIAS 10” imewekwa katikati ya jiji nchini Argentina, ikiwa ni ishara ya heshima kwa Lionel Messi. 👑

💬 Unaona Messi anastahili kupewa heshima hii? 👇

📌 Follow MatchDay TZ TZ kwa habari na updates zote za soka duniani!

🚨💣 CAICEDO KUREJEA UWANJANI WIKI HII! 🔵🔥Kiungo wa Chelsea, Moisés Caicedo, anatarajiwa kurejea uwanjani wiki hii katika ...
05/10/2026

🚨💣 CAICEDO KUREJEA UWANJANI WIKI HII! 🔵🔥

Kiungo wa Chelsea, Moisés Caicedo, anatarajiwa kurejea uwanjani wiki hii katika mchezo wa Chelsea dhidi ya Bournemouth. ⚽💙

Kurejea kwa Caicedo kunaweza kuwa habari njema kwa Chelsea kuelekea mchezo huo, huku mashabiki wakisubiri kumuona tena kiungo huyo akiwa uwanjani. 👀🔥

💬 Unaamini Caicedo akirejea atakuwa na mchango mkubwa kwenye mchezo dhidi ya Bournemouth? 👇

📌 Follow MatchDay TZ kwa habari na updates zote za soka la Bongo na duniani!

🚨🇹🇿 MWALIMU AONGEZWA KIKOSI CHA TANZANIA U23 KABLA YA MCHEZO DHIDI YA KENYA! 🔥⚽Mshambuliaji wa Yanga SC, Selemani Mwalim...
05/10/2026

🚨🇹🇿 MWALIMU AONGEZWA KIKOSI CHA TANZANIA U23 KABLA YA MCHEZO DHIDI YA KENYA! 🔥⚽

Mshambuliaji wa Yanga SC, Selemani Mwalimu (20), ameongezwa kwenye kikosi cha Tanzania U23 kwa ajili ya mchezo wa kesho wa kufuzu AFCON U23 dhidi ya Kenya 🇰🇪.

Mwalimu ameungana na Juma Abushiri (18) ambaye naye aliongezwa kwenye kikosi cha U23 baada ya kutoka Tanzania U20. 🇹🇿👏

Tanzania ina kazi kubwa ya kufanya kesho, baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa mabao 4-1 dhidi ya Kenya. Taifa Stars U23 sasa inahitaji kupindua meza hiyo ili kuendelea na safari ya kufuzu AFCON U23. 🔥💪

💬 Unaamini Tanzania U23 inaweza kupindua matokeo ya 4-1 kesho? 👇

📌 Follow MatchDay TZ kwa habari na updates zote za soka la Bongo!

🇹🇿🔥 CLARA LUVANGA AANDIKA HISTORIA NCHINI MAREKANI! 👏🏆Mchezaji wa Tanzania 🇹🇿 Clara Luvanga ameweka historia katika Ligi...
05/10/2026

🇹🇿🔥 CLARA LUVANGA AANDIKA HISTORIA NCHINI MAREKANI! 👏🏆

Mchezaji wa Tanzania 🇹🇿 Clara Luvanga ameweka historia katika Ligi ya Soka ya Wanawake Marekani (NWSL) baada ya kuwa Mtanzania wa kwanza kufunga bao katika ligi hiyo! ⚽🔥

Luvanga alifunga bao hilo dakika ya 84 katika mchezo dhidi ya Houston Dash, baada ya kupokea pasi ya Claudia Martínez na kumalizia kwa ustadi na kuipa Washington Spirit uongozi wa mabao 3-2.

Bao hilo lilidumu hadi mwisho wa mchezo na kuipa Washington Spirit ushindi wa ugenini, huku Luvanga akiandika rekodi ya kihistoria kwa Tanzania katika moja ya ligi kubwa za soka la wanawake nchini Marekani. 🇹🇿👏🔥

💬 Hongera Clara Luvanga! Unaamini huu ni mwanzo wa makubwa zaidi kwake kwenye NWSL? 👇

📌 Follow MatchDay TZ kwa habari na updates zote za soka la Bongo na wachezaji wetu wanaofanya vizuri kimataifa!

🚨🇹🇿 MWAMUZI AHMED ARAJIGA ATEULIWA NA CAF KUSIMAMIA MECHI YA CHAMPIONS LEAGUE! 🏆⚽Mwamuzi kutoka Tanzania 🇹🇿 Ahmed Arajig...
05/10/2026

🚨🇹🇿 MWAMUZI AHMED ARAJIGA ATEULIWA NA CAF KUSIMAMIA MECHI YA CHAMPIONS LEAGUE! 🏆⚽

Mwamuzi kutoka Tanzania 🇹🇿 Ahmed Arajiga ameteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kusimamia mchezo wa TotalEnergies CAF Champions League kati ya Star Sport Academy ya Sierra Leone 🇸🇱 dhidi ya RS Berkane ya Morocco 🇲🇦, utakaochezwa Oktoba 17, 2026.

Arajiga atasaidiwa na waamuzi wenzake kutoka Tanzania 🇹🇿 katika mchezo huo wa kimataifa. 👏🔥

💬 Unaonaje uteuzi huu kwa waamuzi wa Tanzania kwenye mashindano ya CAF?

📌 Follow MatchDay TZ kwa habari na updates zote za soka la Bongo na mashindano ya CAF!

🏟️🔥 HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YAJENGA UWANJA MPYA WA MPIRA K**A KMC COMPLEX! 🇹🇿⚽Ujenzi wa uwanja wa Halmashauri ya J...
02/10/2026

🏟️🔥 HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YAJENGA UWANJA MPYA WA MPIRA K**A KMC COMPLEX! 🇹🇿⚽

Ujenzi wa uwanja wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, uliopo Kata ya Muriet, Mtaa wa Bondeni, umefikia asilimia 52% ya utekelezaji. 🏗️✨

Mradi huu unalenga kuongeza miundombinu ya michezo jijini Arusha na kutoa mazingira bora kwa shughuli za soka pamoja na michezo mingine. ⚽🔥

💬 Unaonaje hatua hii ya Halmashauri ya Arusha kujenga uwanja k**a KMC Complex?

📌 Follow MatchDay TZ kwa habari na updates zote za soka la Bongo!

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MatchDay TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MatchDay TZ:

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed gym/sports facility?

Share