warm_up_pub_n_cuisine_iringa

  • Home
  • warm_up_pub_n_cuisine_iringa

warm_up_pub_n_cuisine_iringa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from warm_up_pub_n_cuisine_iringa, .

05/04/2026

EASTER PARTY It’s going to start 🔥🔥🔥

PASAKA PARTY ndani ya  na Rooftop Hakuna Kiingilio
05/04/2026

PASAKA PARTY ndani ya na Rooftop

Hakuna Kiingilio

Tunaanza saa 7 Choma Choma Saturday huku Party likiendelea hadi Majogoo na leo tukiwa na Guest Dj pamoja DJs wetu wa kil...
28/03/2026

Tunaanza saa 7 Choma Choma Saturday huku Party likiendelea hadi Majogoo na leo tukiwa na Guest Dj pamoja DJs wetu wa kila siku.

Weekend Imefika na K**a kawaida tukutane mjini WARM UP pamoja na WARM UP Rooftop kwenye Ushuani Kareoke ya Kinyamwezi na...
27/03/2026

Weekend Imefika na K**a kawaida tukutane mjini WARM UP pamoja na WARM UP Rooftop kwenye Ushuani Kareoke ya Kinyamwezi na pia tunafanya K**a vile ambavyo uwa tunafanya weekend nyingine zote

Hakuna Kiingilio

Twisted Tuesday ya Ushuani  Rooftop
24/03/2026

Twisted Tuesday ya Ushuani Rooftop

Na hivi ndivyo tunavyoanza wiki ndani ya Warm Up Rooftop kuanzia leo na Jumatatu zote utaweza kujipatia   na   huku ukis...
23/03/2026

Na hivi ndivyo tunavyoanza wiki ndani ya Warm Up Rooftop kuanzia leo na Jumatatu zote utaweza kujipatia na huku ukisindikizwa na mziki wa tararibu kutoka Kwa DJs wetu.

Warm Up Rooftop tunasema

Tuanze kusogea ndani ya  tuimalizie Eid Pili
22/03/2026

Tuanze kusogea ndani ya tuimalizie Eid Pili

Sunday Kareoke ya Leo tutaimba ushuani, Njoo Uenjoy ladha ya tofauti ukiwa Ghorofani, Karibu ndani ya
22/03/2026

Sunday Kareoke ya Leo tutaimba ushuani, Njoo Uenjoy ladha ya tofauti ukiwa Ghorofani, Karibu ndani ya

Njoo Uishi Kishua ndani ya  Hakuna Kupoa, Tunakutana Leo kwenye Party ya Eid tutakuwa wapi Warm Up na Rooftop
21/03/2026

Njoo Uishi Kishua ndani ya Hakuna Kupoa, Tunakutana Leo kwenye Party ya Eid tutakuwa wapi Warm Up na Rooftop

The Waiting Is OverHakuna tena kusubiri, tunakutana leo kwenye Grand Opening ya Warm Up Rooftop, Njoo uone utofauti na u...
20/03/2026

The Waiting Is Over

Hakuna tena kusubiri, tunakutana leo kwenye Grand Opening ya Warm Up Rooftop, Njoo uone utofauti na upate ladha tofauti ambayo haujawahi kuipata ndani ya Iringa

Huu haijawahi kutokea, Tukutane leo ndani ya Rooftop

This Weekend 🔥🙌
16/03/2026

This Weekend 🔥🙌

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when warm_up_pub_n_cuisine_iringa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility?

Share