02/02/2024
Ijumaa k**a hii wiki iliyopita lilifanyika tukio la kihistoria kwenye Soka la Zanzibar - Uzinduzi wa Jezi za Timu ya Taifa Zanzibar Heroes ukiongonzwa Dr. Hussein Ali Mwinyi
Kiu ya Wazanzibar kuzisubiri jezi hizo sasa imepata majibu, Jezi zinapatikana GG Classic wear, Mombasa S.O.S, GG classic Magomeni na Duka la Hussen Ahmada Jang’ombe Mzizima kwa Tsh 45,000/= tu.
Usikose vazi rasmi la Wanzibari wanaojivunia Zanzibar na maendeleo inayoyafanya.