Soka_letu

Soka_letu Sports

Kufulahi ni jambo kubwa maishan asante mungu Simba mpo poah
03/12/2022

Kufulahi ni jambo kubwa maishan asante mungu

Simba mpo poah

Mfungaji bola EPL msimu huu je wewe unambashili yupi
01/09/2022

Mfungaji bola EPL msimu huu je wewe unambashili yupi

HIVI YANGA MNACHOFANYA HAMJUI TFF MNAWAKELA
01/09/2022

HIVI YANGA MNACHOFANYA HAMJUI TFF MNAWAKELA

"TFF haina huruma kwa Yanga nahisi lengo lao ni kuhakikisha msimu huu Yanga inakosa Vikombe muhimu.Mwezi Septemba Ndani ...
31/08/2022

"TFF haina huruma kwa Yanga nahisi lengo lao ni kuhakikisha msimu huu Yanga inakosa Vikombe muhimu.

Mwezi Septemba Ndani ya Siku 11 Yanga ina Mechi 4 ngumu sana, Mbili za Ligi na Mbili za CAF CL.

Tarehe 6 VS Azam
Tarehe 10 VS Zalan
Tarehe 13 VS Mtibwa Sugar
Tarehe 17 VS Zalan

Hivi mashabiki wa Chelsea Football Club mko wap
31/08/2022

Hivi mashabiki wa Chelsea Football Club mko wap

.... Mkitaka (FFT) isiwaonee Yanga, acheni kushindashinda kila mechi.Mkiendelea kushindashinda kila mchezo hasa michezo ...
31/08/2022

.... Mkitaka (FFT) isiwaonee Yanga, acheni kushindashinda kila mechi.

Mkiendelea kushindashinda kila mchezo hasa michezo mikubwa Nchini mnawaudhi watu, maumivu mnayosababisha mtayalipa kwenye k**ati, mtanyooshwa huko 😆

Nyie si viburi, tukutane kwenye k**ati ðŸĪŠ

"Mimi siyo Bondia oya oya k**a hao wengine mnaowashabikia,",Hassan Mwakinyo.
30/08/2022

"Mimi siyo Bondia oya oya k**a hao wengine mnaowashabikia,"

,Hassan Mwakinyo.

30/08/2022

NENO MOJA KWA JEZI HII
30/08/2022

NENO MOJA KWA JEZI HII

YUPI TISHIO KWA SASA COMMENT
29/08/2022

YUPI TISHIO
KWA SASA COMMENT

.... Kwa jinsi nilivyomtazama Ouatarra ðŸ‡ĻðŸ‡Ū jana, ana mengi ya kujifunza kwa Onyango.Ouatarra ni mzito hana speed, anapasw...
29/08/2022

.... Kwa jinsi nilivyomtazama Ouatarra ðŸ‡ĻðŸ‡Ū jana, ana mengi ya kujifunza kwa Onyango.

Ouatarra ni mzito hana speed, anapaswa apunguze uzito wa mwili la sivyo akikutana na Wachezaji wenye speed atafungwa sana magoli ya counter attack.

Katazame goli la kwanza la Kotoko kisha utakubaliana na hiki ninachosema.

👍 Mipira ya juu yuko vizuri.

✅ Nasoro Kapama jana alicheza vizuri sana akiaminiwa ataisaidia Simba

❎ Dejan hapana kwa kweli

✅ Chama ni yuleyule ðŸ”Ĩ

⚠ïļ Inonga ni mzuri but ana over confidence na masihala mengi kwenye pitch.

☑ïļ Moses Phiri alicheza kawaida.

✅ Okrah yuko vizuri.

.... Kwenye hii sub wangapi walimuelewa kocha Kim Paulsen ?
28/08/2022

.... Kwenye hii sub wangapi walimuelewa kocha Kim Paulsen ?

Address

Zanzibar

Telephone

+255679591207

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soka_letu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share