Dalali Wa Vyumba Nyumba Viwanja. Nipo Zanzibar

Dalali Wa Vyumba Nyumba Viwanja. Nipo Zanzibar Sim No. 0 7 1 4 9 1 2 1 9 1

21/06/2025

Nyumba hii inauzwa million 45. Maongezi yapo. Ipo hawai

21/06/2025

Nyumba hii inakodishwa. Bei ni laki Tatu kwa mwezi. Na mwezi mmoja wa dalali. Ipo meli 6. Ni yatatu kutoka barabarani. Ina Vyumba vinne master 2

21/06/2025

Nyumba hii inauzwa

21/06/2025

Nyumba hii inauzwa ipo Hawaii milioni 45

21/06/2025

Hapo ni ndani ya hiyo Nyumba

15/06/2025

Master na ukumbi ipo mchina mwisho. Bei laki na hamsini. Na mwezi mmoja wa dalali

Vitambulisho vimeokotwa . Vipo kwa kijambia. K**a umepoteza vitambulisho vyoko. Au unamjua mwenye vitambulisho hivi. Pig...
09/05/2025

Vitambulisho vimeokotwa . Vipo kwa kijambia. K**a umepoteza vitambulisho vyoko. Au unamjua mwenye vitambulisho hivi. Piga sim 0714 912 191

08/03/2025
Inauzwa milioni moja na laki tisa
08/03/2025

Inauzwa milioni moja na laki tisa

27/02/2025

Banda hili linauzwa milioni 25 Maongezi yapo lipo kianga maskani nyoka

27/02/2025

Kiwanja hiki kinauzwa milioni 20 Maongezi yapo kipo kianga maskani nyoka

Address

Mwera Kijambia
Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dalali Wa Vyumba Nyumba Viwanja. Nipo Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share