Yanga tz

Yanga tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yanga tz, Tabata, Vikindu.

Uongozi wa klabu ya Yanga Sc umethibitisha kuvunja mkataba na kocha wa kikosi cha kwanza Miguel Angel Gamondi raia wa Ar...
15/11/2024

Uongozi wa klabu ya Yanga Sc umethibitisha kuvunja mkataba na kocha wa kikosi cha kwanza Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina pamoja na kocha msaidizi Moussa Ndaw.

Taarifa ya leo Novemba 15, 2024 iliyotolewa na klabu hiyo imebainisha kuwa klabu hiyo tayari imeanza mchakato wa haraka wa kutafuta Makocha wapya wa kikosi hicho na unatarajiwa kukamilika hivi punde.

“Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuwashukuru Makocha hao kwa mchango wao ndani ya Klabu yetu na unawatakia kila la kheri katika majukumu yao mapya.” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Yanga mwene mwene ❤️❤️❤️
27/10/2024

Yanga mwene mwene ❤️❤️❤️

07/11/2023

😜😜😜😜😜 bado ujasema🗝️ nampaka utheme😜😜😜

Address

Tabata
Vikindu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanga tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share