Ligi Kuu Tanzania

Ligi Kuu Tanzania Ukurasa Rasmi wa Habari za Michezo Ligi Kuu Tanzania Bara

Ni vita kati ya simba na al ahlyNafikili hii ndo mechi kubwa na itakayotazamwa sana na maelfu na mamia ya watu duniani k...
03/09/2023

Ni vita kati ya simba na al ahly

Nafikili hii ndo mechi kubwa na itakayotazamwa sana na maelfu na mamia ya watu duniani kote

Nafikili hata Al AHLY hajapenda kukutana na simba, ukijaribu kufutilia katika kurasa za club ya Al AHLY comments nyingi za mashabiki wanalia sana baada ya kupangwa na simba

BREAKING NEWS Simba imepangwa kukutana na mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri katika michuano mipya ya   itakayoanza mw...
02/09/2023

BREAKING NEWS
Simba imepangwa kukutana na mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri katika michuano mipya ya itakayoanza mwezi Oktoba mwaka huu.

Simba itaanzia nyumbani katika mchezo rasmi wa ufunguzi, na mechi zitakuwa ni kwa mfumo wa mtoano zikianzia robo fainali.

Matokeo ya droo kwa mechi zote yako hivi:-

Simba vs Al Ahly.
TP Mazembe vs Esperance
Enyimba vs Wydad AC,
Petro Atletico vs Mamelodi Sundowns

Mechi ya Kirafiki Leo asubuhi Simba Sc imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Kipanga FC na kuibuka na ushindi wa magoli 3...
02/09/2023

Mechi ya Kirafiki Leo asubuhi Simba Sc imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Kipanga FC na kuibuka na ushindi wa magoli 3-0.
Wafungaji wa mabao ni:
>Moses Phiri
>Louis Miqquisone
>Aubin Kramo

Address

Ubungo
Ubungo
11000

Telephone

+255652113375

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ligi Kuu Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ligi Kuu Tanzania:

Share

Category