Michezo LEO TZ

Michezo LEO TZ kalibu kwenye ulimwengu wa michezo kutoka kwenye ukulasa wako pendwa michezo leo tz. kalibu sana kwenye michezo a

kikosi  cha  yanga  kiondoka  leo asubuhi  kuelekea  zanzibar  kwa ajili  ya  mchezo  wa tarehe  moja  mwezi wa  tatu  d...
26/02/2026

kikosi cha yanga kiondoka leo asubuhi kuelekea zanzibar kwa ajili ya mchezo wa tarehe moja mwezi wa tatu dhidi ya simba sport club utakao pigwa ndani ya dimba la New Amani Compex yanga ndio wenyeji wa mchezo huo

26/02/2026

matokeo ya mechi za jana nbc premier league

25/02/2026

derby ya Kariakoo 😂😂

Club ya  Singida  black stars  imemsajili   Kelvin  Kijiri  kutokea  Simba  sport club
11/07/2025

Club ya Singida black stars imemsajili Kelvin Kijiri kutokea Simba sport club

Club  ya  Namungo  imeachana  na  Erick  Kapaito
10/07/2025

Club ya Namungo imeachana na Erick Kapaito

Yanga  waitaka  simba  siku  ya wiki ya mwananchi    Meneja  wa  habari na mawasiliano  Ally kamwe  amedhibitisha  hilo ...
10/07/2025

Yanga waitaka simba siku ya wiki ya mwananchi

Meneja wa habari na mawasiliano Ally kamwe amedhibitisha hilo

Jana  usiku  ulipigwa  mchezo  mmoja  nusu  fainal ya  ya kombe la Dunia  kwa ngazi  ya  vilabu   PSG  na  Real Madrid  ...
10/07/2025

Jana usiku ulipigwa mchezo mmoja nusu fainal ya ya kombe la Dunia kwa ngazi ya vilabu PSG na Real Madrid

PSG wakaibuka na ushindi wa goli tatu kwa sifuli na kutinga fainal PSG watakutana na Chelsea kwenye fainal

Shirikisho  la mpira  Tanzania  TFF  imefungua  rasmi dirisha  kubwa  la usajiri
10/07/2025

Shirikisho la mpira Tanzania TFF imefungua rasmi dirisha kubwa la usajiri

Mjali  yule  anae  kujali    Mwamini   yule  mwaminifu  kwako  ila usimuamini sana  asilimia  100%  asije  badae  akakul...
09/10/2024

Mjali yule anae kujali
Mwamini yule mwaminifu kwako ila usimuamini sana asilimia 100% asije badae akakuleletea kizungu zungu kichwani

Ukifanikiwa  walimwengu  wanakujadili  Ukiwa  hujitumi  ooh  jamaa ni mvivu  sana  Kaa  mbali  sana  na watu  k**a  hao ...
20/09/2024

Ukifanikiwa walimwengu wanakujadili
Ukiwa hujitumi ooh jamaa ni mvivu sana
Kaa mbali sana na watu k**a hao
Muamini mungu kwa kile nacho kupatia
Imani Yako ndio mafanikio Yako

Mabingwa wa nchi  Yanga  African  HONGERENI WANANCHI
09/06/2023

Mabingwa wa nchi Yanga African HONGERENI WANANCHI

Address

Mkinga Malamba
Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michezo LEO TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category