Tanga Region Basketball Association

Tanga Region Basketball Association Ukurasa maalumu wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Tanga. Hapa ndipo taarifa rasmi za Chama na mchezo wa Mpira wa Kikapu mkoani Tanga zitatolewa.

Kesho saa 11 jioni kazi ipo Pale pale, tunaanza na Team Masha Vs Team Jokha Kisha Men's game k**a kawaida.Kesho ni Team ...
03/07/2026

Kesho saa 11 jioni kazi ipo Pale pale, tunaanza na Team Masha Vs Team Jokha Kisha Men's game k**a kawaida.

Kesho ni Team Hamisi Jafari na Team Twahir Mdimu.

Karibuni Harbours Club

Tunaanza na Ladies Kisha tunamqliza na Men's game.
27/06/2026

Tunaanza na Ladies Kisha tunamqliza na Men's game.

Leo upon Live kuanzia sa 11 jioni pale Harbour's Club
27/06/2026

Leo upon Live kuanzia sa 11 jioni pale Harbour's Club

Tanga Region Basketball Association is Wishing you Eid Mubarak
26/05/2026

Tanga Region Basketball Association is Wishing you Eid Mubarak

Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Tanga ndugu Jacob Senkondo amewataka viongozi wa vilabu vya mchezo huo k...
26/05/2026

Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Tanga ndugu Jacob Senkondo amewataka viongozi wa vilabu vya mchezo huo kushughulikia mara Moja usajiri wa vilabu hivyo huko BMT ili kuvipa uhalali wa kushuriki katika Ligi ya Mkoa, Taifa na shughuli nyingine za michezo ziliipo chini ya Tanga Region Basketball Association na TBF. Mwenyekiti ameyasema ayo kupitia taarifa yake kwa umma aliyoitoa kwa vyombo vya habari.

Address

Tanga City
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanga Region Basketball Association posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category