29/08/2026
Mike Tyson alibeba mkanda wa Dunia akiwa na miaka 20 mwaka 1986 kwa kumpiga Trevor Berbick na kuweka rekodi ya mtu aliyebeba ubingwa wa Dunia akiwa na umri mdogo zaidi.
Leo Moses Itauma mwenye miaka 21 anapanda ulingoni kupigana na Jitu kubwa, Filip Hrgović kutoka Croatia pambano ambalo litafanyika ukumbi wa O² Arena, anaweza kufikia rekodi ya Iron Mike?.
kashajimaliza, anaondoka na Itauma, ametoa sababu zake.
Wewe ni .itauma au ?