Black Ball Boy Label

Black Ball Boy Label ya kuinua na kusimamia wachezaji wa mpira wa miguu
Tabora Tanzania
Cont 0624741735

16/08/2026
04/08/2026
🎉 +1 Leo sio tu siku ya kuzaliwa… ni siku ya kushukuru Mungu kwa hatua niliyopiga, vita nilivyoshinda kimya kimya, na nd...
10/05/2026

🎉 +1 Leo sio tu siku ya kuzaliwa… ni siku ya kushukuru Mungu kwa hatua niliyopiga, vita nilivyoshinda kimya kimya, na ndoto ambazo bado nazifuatilia kwa moyo wote. ❤️

Nimejifunza kuwa maisha hayahitaji kuwa perfect ili uwe na furaha… yanahitaji moyo wa kupambana, kuamini, na kutokukata tamaa. 🙏🏾
Naingia mwaka mpya wa maisha yangu nikiwa na nguvu mpya, akili mpya, malengo mapya, na njaa kubwa ya mafanikio. 📈⚽🔥

Happy Birthday to Me 🥳
Cheers to more wins, more lessons, more blessings, and bigger moves ahead.
Mungu mbele, mengine yatafuata. ✨🖤

09/05/2026

Rate this penalty and blackballboy_label tshirt 👌

Logo ni moja tu mjini  🧨 #
02/05/2026

Logo ni moja tu mjini 🧨

#

25/04/2026

U*i mtamu huu 🧨

Jezi kali ya BlackBallBoy hii hapa kwa mahitaji Dm kwa bei nafuu kabisa 🎈
22/04/2026

Jezi kali ya BlackBallBoy hii hapa kwa mahitaji Dm kwa bei nafuu kabisa 🎈

Address

Urambo
Tabora

Telephone

+255624741735

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Black Ball Boy Label posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share