Hawaii f.c

Hawaii f.c TIMU BORA KWA KILA MWENYE MAENDELEO YA SOKA,KARIBUNI SANA

09/11/2023

29/10/2023

A,alaiykum tukijaaliwa jumatano hii tunacheza mchezo wetu wa tatu dhidi ya kwaalimsha city saa 7:30 Mao

Kifika kwenu kwa wingi ndo ushindi wa asilimia %

06/08/2023

A, alaiykum wadau wapenzi na wapenda soka wote mulioko TANZANIA na ata nje ya TANZANIA timu ya HAWAII FC ipo kwenye kujiandaa na msimu wa ligi wilaya ya mjini 2023-24 inapenda kuwatangazia wote inatowa fursa ya Atakae taka kugombania nafas za uwongoz wa club katika ngazi tofaut,mchakato huo unatarajiwa kuanza tareh 13/8/2023.
Na pia inapenda kuwapa fursa kwa mdhamin yoyote yule aliyekuwa anataka kuungana na sisi kwa njia moja ama nyengine wanakaribishwa

AHSANTENI SANA
By katibu HAWAII FC

20/09/2022

A,Alaiykum tukijaaliwa tunaendelea na mazoez yetu katika uwanja wa saaten chini (BONDENI)
mnamo saa 10:00 jioni laasir kufika kwenu ndiyo mafanikio ya timu yetu

𝗛𝗔𝗪𝗔𝗜𝗜 𝗙𝗖

29/09/2021

A,Alaiykum kesho tukijaaliwa kutakuwa na mech ya kirafiki uwanja wa seblen saa 10:00 jioni tunataka kuanza game hivyo tujitahidn kuja mapema ili tuweze kufanikisha zoezi letu la kujiandaa na pre season

Ahsanten

12/08/2021

A,alaiykum wapenzi na mashabiki wa FC leo saa kumi 10 baada ya swalatul laa'sr tutasoma aroubain ya aliyekuwa kipenzi chetu captain wetu kipenzi aliyetangulia mbele ya haki (JOJI) Nyumban kwao mtopepo uwanja wa wamwatemwe

Ahsanten sana
by katibu

09/07/2021

Inna lillah wainna ilaih rajiun

A,alaykum Uongoz wa inasiktika kutangaz kifo cha mchezaj wao mpendwa (JOJI)

Maziko yatakuwa kesho saa 4 asubuh na kuzikwa kijijijn kwao

21/05/2021

A,alaiykum wapenzi wa mazoez tushaanza uwanjan kwetu saaten ndani (JKU) muhim kufika kuja kuisapport team yenu

24/03/2021

A,alaiykum wapenzi na mashabiki wa mazoez tutaendelea tarehe 29/03/2021

Kutokana na tupo kwenye maombolez ya msiba wa kitaifa

Ahsanten sana

16/01/2021

A, alaiykum wapenzi pmj na wanachama wote wa leo trh 16/01/2021 tunaanza mechi yetu ya ligi ngazi ya mkowa dhidi ya wapinzan wetu katika uwanja wa dole saa 10 jion

Kila la kheir

Address

MKELE ZANZIBAR

Telephone

+255778459075

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hawaii f.c posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hawaii f.c:

  • Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility?

Share