Morieti media

Morieti media Karibu katika ukurasa wa Morieti Media ili ufahamu kuhusu ligi kuu Tanzania Bara

Kumbe Kagere ndio mwanzilishi wa kutetema???Full video gusa link kuangalia๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://youtu.be/v626gt-uyTk
06/04/2022

Kumbe Kagere ndio mwanzilishi wa kutetema???

Full video gusa link kuangalia๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

https://youtu.be/v626gt-uyTk

https://youtu.be/Ce5qNkL1R1k
25/02/2022

https://youtu.be/Ce5qNkL1R1k

-------- DISCLAIMERS!!! ---------Copyright Disclaimer under section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for โ€œfair useโ€ for purposes such as crit...

https://youtu.be/FUL8sj14xP0
24/02/2022

https://youtu.be/FUL8sj14xP0

This content is both transformative and educational.Video complies content quality section of YOP policies as editing adds creative valueThis which makes the...

23/02/2022

Haji Manara aufagilia ushangiliaji wa Fiston Mayele

Je, Wajua?Cristiano Ronaldo ndio mchezaji pekee katika historia ya Uefa Champions League Kukosa Penalty mara mbili katik...
17/02/2022

Je, Wajua?
Cristiano Ronaldo ndio mchezaji pekee katika historia ya Uefa Champions League Kukosa Penalty mara mbili katika Nusu Fainali na Mara Moja Katika Fainali?

Uriah Rennie ndio alikuwa referee wa kwanza mweusi kuchezesha Ligi Kuu England.Katika kipindi cha miaka kumi na mbili uh...
16/02/2022

Uriah Rennie ndio alikuwa referee wa kwanza mweusi kuchezesha Ligi Kuu England.
Katika kipindi cha miaka kumi na mbili uhudumu wake alitoa kadi za njano 543 na kadi nyekundu 40

Kocha wa Club ya Manchester City Pep Guardiola licha ya kuwa na mafanikio makubwa katika kipindi cha uchezaji wake na ka...
16/02/2022

Kocha wa Club ya Manchester City Pep Guardiola licha ya kuwa na mafanikio makubwa katika kipindi cha uchezaji wake na katika ukocha wake, lakini kocha huyo anapenda kuwa Model, designer na hii alianza miaka ya 1990' akiwa mchezaji wa Barcelona

07/02/2022

Bernard Morrison Apewa Dili Nono Yanga
Kutoka katika gazeti la mwanaspoti limeandika taarifa kwamba Bernard Morrison ameahidiwa dili nono la dola 100,000 (sh230M) kutoka kwa mabosi wa Yanga.

Address

Singida

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Morieti media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share