Gmast sports

Gmast sports Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gmast sports, Sport & recreation, Bukongo, Nansio.

u*i wa coastal union msimu huuuni๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
29/08/2024

u*i wa coastal union msimu huuu
ni๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

... ๐Ÿšจ HI IMEKAAJE ?!Klabu ya Simba walidanganya au timu ya Taifa ya Burkinafaso wamemsahau kumuandika Valentine Nouma ?!...
29/08/2024

... ๐Ÿšจ HI IMEKAAJE ?!

Klabu ya Simba walidanganya au timu ya Taifa ya Burkinafaso wamemsahau kumuandika Valentine Nouma ?!

โ„น๏ธ Kikosi kimepostiwa saa moja iliyopita na shirikisho la soka Burkinafaso.

... ๐Ÿšจ ๐—–๐—ข๐—ก๐—™๐—œ๐—ฅ๐— ๐—˜๐——Wachezaji wa Yanga SC, Clatous Chama na Kennedy Musonda wameitwa kwenye timu ya Taifa ya Zambia, 'Chipolo...
29/08/2024

... ๐Ÿšจ ๐—–๐—ข๐—ก๐—™๐—œ๐—ฅ๐— ๐—˜๐——

Wachezaji wa Yanga SC, Clatous Chama na Kennedy Musonda wameitwa kwenye timu ya Taifa ya Zambia, 'Chipolopolo' ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ

Wachezaji wa klabu za Simba na Yanga walioitwa kwenye timu zao za Taifa :

Young Africans Sports Club (14)

โžœ Djigui Diarra ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ
โžœ Aboutwalib Mshery ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
โžœ Stephane Aziz Ki ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ
โžœ Dickson Job ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
โžœ Duke Deuces Abuya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โžœ Ibrahim Bacca ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
โžœ Khalid Aucho ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ
โžœ Bakari Mwamnyeto ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
โžœ Prince Dube ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ
โžœ Nickson Kibabage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
โžœ Clatous Chama ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ
โžœ Mudathir Yahya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
โžœ Kennedy Musonda ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ
โžœ Clement Mzize ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

โ„น๏ธ Wazawa saba na wakigeni saba.

Simba sports Club (6) :

โžœ Moussa Canara ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ
โžœ Ally Salim ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
โžœ Steven Mukwala ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ
โžœ Zimbwe Jr ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
โžœ Valentine Nouma ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ
โžœ Edwin Balua ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

โ„น๏ธ Wazawa watatu na wakigeni watatu.

Tom Cruz facts ๐Ÿง 

Kiungo wa Azam FC Feisal Salum amethibitisha kuwepo kwa presha baada ya jana kudondosha alama mbili kufuatia sare waliyo...
29/08/2024

Kiungo wa Azam FC Feisal Salum amethibitisha kuwepo kwa presha baada ya jana kudondosha alama mbili kufuatia sare waliyoipata dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu.

โ€œPresha ni kubwa, Azam ni timu kubwa na kila mechi inataka matokeo. Sisi k**a wachezaji tukipata matokeo haya tunajisikia vibaya kwa hiyo tutaendelea kupambana tunaenda kujipanga kwenye uwanja wa mazoezi.โ€ Feisal Salum

Cc dauda

Uongozi wa Young Africans SC ukiongozwa na Mtendaji Mkuu wa Klabu Andre Mtine kwa kushirikiana na  leo tumetembelea kitu...
29/08/2024

Uongozi wa Young Africans SC ukiongozwa na Mtendaji Mkuu wa Klabu Andre Mtine kwa kushirikiana na leo tumetembelea kituo cha watoto wenye uhitaji cha Uyacho Turkey Orphanage Center kilichopo Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera.


NICO WILLIAMS ๐Ÿค”Kuna baadhi ya Vyanzo vilisema kaka Mkubwa wa Nico Williams anayeitwa Inaki Williams ndio anafanya Ushawi...
29/08/2024

NICO WILLIAMS ๐Ÿค”

Kuna baadhi ya Vyanzo vilisema kaka Mkubwa wa Nico Williams anayeitwa Inaki Williams ndio anafanya Ushawishi Mkubwa sana wa Dogo kubakia Bilbao .

Brother anataka Dogo awe Legend Athletic Bilbao k**a ilvyo kwake lakini kuna Vyanzo vinasema Dogo atabakia Athletic Bilbao Kwa Msimu huu pekee ambao Timu inashiriki Europa league na baada ya hapo atatafuta malisho sehemu nyingine.

Hivi wewe hapo ! Brother wako ashawahi kuingilia jambo lako na ukamsikiliza na Kufanya atakavyo ?

... ๐Ÿšจ ๐— ๐—™๐—จ๐— ๐—ข ๐— ๐—ฃ๐—ฌ๐—” ๐—ช๐—” ๐—จ๐—˜๐—™๐—” :Dro ya UEFA champions league itafanyika leo Aug 29 saa 8 mchana ambapo kwa mara ya kwanza  muu...
29/08/2024

... ๐Ÿšจ ๐— ๐—™๐—จ๐— ๐—ข ๐— ๐—ฃ๐—ฌ๐—” ๐—ช๐—” ๐—จ๐—˜๐—™๐—” :

Dro ya UEFA champions league itafanyika leo Aug 29 saa 8 mchana ambapo kwa mara ya kwanza muundo mpya utatumika

โžœ 24 | 25 kutakuwa na iimu 36 badala ya 32 k**a ilivyokuwa awali.

โ—‰ Katika timu 4 zilizoongeze, timu 2 zitatoka katika ligi namba 1 na 2 kwa Ubora Ulaya. Kila ligi timu 1. K**a ligi ilikuwa inatoa timu (5), zitakuwa (6).

โ—‰ Timu ya (3) itatoka kwenye ligi namba (5) ambayo hutoa timu (2) Champions league, zitakuwa (3).

โ—‰ Timu ya (4) itatoka kwa Bingwa wa EUROPA LEAGUE.

โžœ Mashindano hayo yatachezwa k**a Ligi na sio makundi k**a zamani.

โžœ Timu ya 1 hadi ya 8 kwenye ligi ya UEFA champions league zitafuzu moja kwa moja kwenye hatua ya MTOANO (16) Bora.

โžœTimu ya 9 hadi ya 24 zitacheza play off kutafuta timu zingine 8 zitakazounda timu 16 zitakazocheza hatua ya 16 Bora.

โžœ Timu zilizobakia zitaondoshwa kwenye mashindano, hazitaenda kwenye michuano ya EUROPA k**a awali.

โžœ 24 | 25 Dro (Kuanzia leo) haitochezeshwa Manual na watu k**a awali, itatumika Computer Robot kupitia Science Technology inayoitwa Al (Akili bandia).

โžœ Al atakuwa prompted ili kuzuia Timu za shirikisho Moja kukutana , mfano Man city vs Arsenal.

โžœ Kila iimu itacheza mechi 8. Nne nyumbani na nne ugenini, hakutakuwa na marudiano.

Tom Cruz facts ๐Ÿง 

๐ŸšจFEISAL AWAWEKEA NGUMU AZAM FCAzam FC jana ilikuwa uwanjani kucheza mechi ya kwanza ya Ligi Kuu kwa msimu wa 2024-2025 d...
29/08/2024

๐ŸšจFEISAL AWAWEKEA NGUMU AZAM FC

Azam FC jana ilikuwa uwanjani kucheza mechi ya kwanza ya Ligi Kuu kwa msimu wa 2024-2025 dhidi ya JKT Tanzania, lakini kabla ya mechi hiyo, mabosi wa timu hiyo wameshtushwa na kiungo Feisal Salum โ€˜Fei Totoโ€™ kuzuia kwa muda mazungumzo ya mkataba mpya.
Fei Toto alisaini mkata-mba wa miaka mitatu ndani ya kikosi hicho, hivyo amebakiza mkataba wa takriban mwaka na miezi kadhaa, jambo ambalo liliwafanya matajiri wa klabu hiyo wajihami mapema kwa kutaka kumuongezea mkataba mpya, lakini walichokutana nacho kimewash*tua baada ya kiungo huyo kuwagomea.
Ipo hivi. Mabosi hao walitaka Fei Toto apewe mkataba mrefu zaidi kutokana na kiwango alichokionyesha msimu uliopita na mechi za msimu huu, lakini mchezaji huyo amewataka wasiwe na haraka naye kwa sasa.
Azam ilitaka kumpa mkataba mnono Fei ambao ungemfanya kuwa kiungo ghali zaidi katika Ligi Kuu, hasa baada ya kuifungia timu hiyo mabao 19 akimaliza katika nafasi ya pili msimu uliopita nyuma ya Stephane Aziz Ki.

๐Ÿšจ Jeraha la De Jong alilolipata kwenye Mchezo dhidi ya Real Madrid C.F. msimu uliopita limeonekana ku*idi kuwa kubwa na ...
29/08/2024

๐Ÿšจ Jeraha la De Jong alilolipata kwenye Mchezo dhidi ya Real Madrid C.F. msimu uliopita limeonekana ku*idi kuwa kubwa na italazimika afanyiwe upasuaji Ili apone kwa asilimia ๐Ÿ’ฏ.

Endapo hatafanyiwa upasuaji huo hatapona jeraha hilo kwa asilimia ๐Ÿ’ฏ.

๐Ÿ“ท Derek Katey Caesar

๐ŸšจMWINYI ZAHERA: ๐Œ๐™๐ˆ๐™๐„ ๐€๐“๐€๐‚๐‡๐„๐™๐€ ๐”๐‹๐€๐˜๐€,๐’๐„๐Œ๐…๐”๐Š๐Ž ๐๐ˆ ๐Š๐ˆ๐”๐๐†๐Ž ๐Œ๐™๐”๐‘๐ˆ ๐’๐€๐๐€"Clement Mzize atakuwa mshambuliaji namba moja wa timu ...
29/08/2024

๐ŸšจMWINYI ZAHERA: ๐Œ๐™๐ˆ๐™๐„ ๐€๐“๐€๐‚๐‡๐„๐™๐€ ๐”๐‹๐€๐˜๐€,๐’๐„๐Œ๐…๐”๐Š๐Ž ๐๐ˆ ๐Š๐ˆ๐”๐๐†๐Ž ๐Œ๐™๐”๐‘๐ˆ ๐’๐€๐๐€

"Clement Mzize atakuwa mshambuliaji namba moja wa timu ya Taifa ya Tanzania, miaka miwili inayokuja watu watashangaa, huyu kijana hawezi kumalizia mpira wake Tanzania, atacheza ulaya na sio yeye tu, kuna Charles Semfuko ni kiungo mzuri sana"

- Mwinyi Zahera
kocha wa Namungo FC

... ๐Ÿšจ YAMETIMIA CEO wa bodi ya ligi, Almas Kasongo akijibu swali kwa nini VAR haitumiki ligi kuu licha ya (TFF) na bodi ...
29/08/2024

... ๐Ÿšจ YAMETIMIA

CEO wa bodi ya ligi, Almas Kasongo akijibu swali kwa nini VAR haitumiki ligi kuu licha ya (TFF) na bodi ya ligi kuahidi msimu huu itatumika ?!

Amesema wamebaini kuwa kila mechi inahitaji waamu*i (15) ambao wako trained na (CAF) kuiendesha (VAR), waamu*i waliopo bado hawajakidhi vigezo ndio maana (VAR) imechelewa kutumika.

Pia ili (VAR) itumike ni lazima (CAF) na (IFAB) waidhinishe k**a mmekidhi vigezo vya kuiendesha.

๐Ÿ˜€ Kwa hiyo wakati wanaahidi (VAR) itatumika walikuwa hawajui taratibu hizi ?!

Unaikumbuka hii post yangu ? ๐Ÿ‘‡

"๐Ÿ“บ ๐— ๐—”๐—ฆ๐—ช๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ง๐—จ

(TFF) na Serikali wamesisitiza kuwa msimu ujao 24|25 itatumika Video Assistance Referee (VAR) ligi kuu Tanzania bara.

๐—›๐—ฒ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ถ๐—ท๐˜‚๐—ฒ (๐—ฉ๐—”๐—ฅ) ๐Ÿ“บ

๐Ÿ“บ Video Assistance Referee (VAR) ni technology inayosimamiwa na kuendeshwa na (IFAB) International Football Association kwa upande wa soka. VAR hutumika pia katika michezo mingine k**a rugby nk..

(VAR) ni mali ya (IFAB), ukihitaji kusimika VAR nchini kwako utalazimika kuinunua kutoka kwao.. VAR ni mfumo unaotumika kumsaidia mwamu*i wa kati kurejea matukio mbalimbali yenye utata ili kutoa hukumu stahiki katika mchezo husika.

๐Ÿ“บ Kusimika mtambo mmoja wa (VAR) inagharimu takribani Paun ยฃ 4.6 million ambazo nisawa na Tsh 14.5 Billion. Kukamilisha installation nzima + uendeshaji VAR moja inagharimu Tsh 21 Billion.

๐Ÿ’ธ Gharama za uendeshaji wa (VAR) hulipiwa na vilabu viwili vitakavyokuwa vinacheza Mchezo siku hiyo na husimamiwa na WAAMUZI si chini ya (15) ambao wako TRAINED na (CAF) kuitumia.

Kila klabu inapaswa kulipa si chini ya Tsh 7 Million kwa kila mchezo baada ya kodi (VAT), jumla Tsh 14 Milioni kwa Mchezo mmoja.

๐Ÿ“ธ (VAR) system hutumia si chini ya camera (32) zilizo simikwa kwenye maeneo tofauti kwa mchezo mmoja.

Camera zote zinazotumika kwenye (VAR) zina uwezo wa juu wa kunasa picha, zina teknolojia ya kisasa zaidi Duniani ya (5K).

ยป Katika hizo camera (32), camera (8) ni za (Super slow motion) mwendo

Kesho ya Lameck Lawi itawahukumu wengi sana, namtazama Kijana wa Kitanzania ambaye alionesha kiwango kikubwa sana msimu ...
29/08/2024

Kesho ya Lameck Lawi itawahukumu wengi sana, namtazama Kijana wa Kitanzania ambaye alionesha kiwango kikubwa sana msimu uliyopita, ulikuwa wasaa wake sahihi kwenda SIMBA kucheza mpira kwenye michuano mikubwa kwa maslahi yake na Taifa kwa ujumla.

Sitaki kuamini kwamba Coastal ina nguvu kuliko Simba, sijui ni kitu gani kimekwamisha usajili huu lakini Lawi alikuwa anaihitaji Simba kuliko Simba inavyomhitaji, najaribu kuwaza saikolojia yake ipoje kwasasa, nawaza mpira wake utakuwaje baada ya kuwa kwenye ubora hakupata anachostahili.

Nani yupo nyuma ya Lawi? Cinema za Ubelgiji mara Sweden na hatimae amerejea, tuliiwaza kesho ya Lawi? Tulidhani tunaikomoa Simba ila tunaikomoa kesho ya LAWI, tumeiwaza kesho ya Lawi?

Cc. Farhan

Address

Bukongo
Nansio

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gmast sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share