Uwanja Wetu Project

Uwanja Wetu Project Funder & CEO

UWP SUPER CUP MSIMU WA III 2026 NI ZAIDI YA RAHA MFULULUUUU
31/08/2026

UWP SUPER CUP MSIMU WA III 2026 NI ZAIDI YA RAHA MFULULUUUU

SOKA NI ZAIDI YA BURUDANIIIIIII UHONDO NA UTAMU WOTE NI UWP SUPER CUP MSIMU WA III- 2026
31/08/2026

SOKA NI ZAIDI YA BURUDANIIIIIII UHONDO NA UTAMU WOTE NI UWP SUPER CUP MSIMU WA III- 2026

SHANGWE LA MASHABIBI NDANI ZMYA FAINALI ZA UWP, WADADA WAMEIKUBALI SHOW SHOW    Kipara Mjini, Nachingwea
31/08/2026

SHANGWE LA MASHABIBI NDANI ZMYA FAINALI ZA UWP, WADADA WAMEIKUBALI SHOW SHOW Kipara Mjini, Nachingwea

Utamu wa Burudaniiiiiii huutoka  na Wachezaji wazuri , ni ndani ya UWP SUPER CUP MSIMU WA III 2026 , NI ZAIDI YA LIGI KU...
26/08/2026

Utamu wa Burudaniiiiiii huutoka na Wachezaji wazuri , ni ndani ya UWP SUPER CUP MSIMU WA III 2026 , NI ZAIDI YA LIGI KUU

VIPAJI NDANI YA UWP SUPER CUP 2026   KIPARA MTUA NACHINGWEA
26/08/2026

VIPAJI NDANI YA UWP SUPER CUP 2026 KIPARA MTUA NACHINGWEA

Mchezaji wa Ntila Star akijaribu kumpita mchezaji wa Bunju soccer mechi ya Fainali kombe la UWP SUPER CUP 2026.
24/08/2026

Mchezaji wa Ntila Star akijaribu kumpita mchezaji wa Bunju soccer mechi ya Fainali kombe la UWP SUPER CUP 2026.

Mheshimiwa Mgeni Rasmi, Mbunge wa jimbo la Nachingwea Mh. Fadhili Liwaka akifuatilia kwa makini mchezo wa Fainali za UWP...
24/08/2026

Mheshimiwa Mgeni Rasmi, Mbunge wa jimbo la Nachingwea Mh. Fadhili Liwaka akifuatilia kwa makini mchezo wa Fainali za UWP SUPER CUP 2026, katika viwanja vya UWP KIPARA MTUA. Mchezo uliolutanisha timu mbili kutoka kijiji cha Ntila kati ya Bingwa mtetezi Bunju Soccet bs Ntila Satar. Burudaniiiiiii Zinaendeleaaaaa

24/08/2026
Tabasamu la Mheshimiwa Mgeni Rasmi Mbunge Fadhili Liwaka akisalimiana na watu waliofika kutazama Fainali za UWP SUPER CU...
08/08/2026

Tabasamu la Mheshimiwa Mgeni Rasmi Mbunge Fadhili Liwaka akisalimiana na watu waliofika kutazama Fainali za UWP SUPER CUP MSIMU WA III- 2026 kijijini Kipara Mtua Kisiwa cha Burudaniiiiiii. Jamii inamtazama k**a Mbunge wa Watu.

Mheshimiwa Mgeni Rasmi,  Fadhili Liwaka, Mbunge wa jimbo la Nachingwea akikagua na kusalimiana na wachezaji kabla ya Mec...
08/08/2026

Mheshimiwa Mgeni Rasmi, Fadhili Liwaka, Mbunge wa jimbo la Nachingwea akikagua na kusalimiana na wachezaji kabla ya Mechi kuanza kwenye fainali za UWP SUPER CUP MSIMU WA III- 2026, Ambapo fainali za mwaka huu zimekutanisha timu mbili zote kutokea Kijiji cha Ntila na kufanya Dabi ya kuvutia kati ya Ntila Star dhidi ya Bunju Soccer ⚽️ Bingwa Mtetezi wa 2025.

Address

Lindi
Nachingwea

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uwanja Wetu Project posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share