YANGA DAIMA

YANGA DAIMA Mchezo Ni Afya

𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦  🎙️ Young Africans Sports Club “Hizi ni miongoni mwa mechi ngumu na ni muhimu sana Kushinda, tunafahamu Fountain G...
30/08/2026

𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦 🎙️ Young Africans Sports Club

“Hizi ni miongoni mwa mechi ngumu na ni muhimu sana Kushinda, tunafahamu Fountain Gate wana mwalimu mzuri ambaye amewahi kuwa sehemu ya Benchi la Yanga hivyo anajua tamaduni za klabu, Ni mzoefu na ana wachezaji wazuri, Sisi k**a Yanga tunapaswa kufanya kazi kubwa ili kushinda kesho”

“Tunafahamu wapinzani wetu wamepoteza michezo kadhaa hapo nyuma lakini jukumu letu ni kuheshimu kila mchezo, tumewaangalia Fountain Gate namna wanavyocheza na leo tunakwenda kufanya maandalizi ya mwisho ya kucheza nao, naamini tutakuwa na Mechi nzuri”

“Nawaomba sana Wananchi waje kwa Wingi, wao ni muhimu sana kwa timu, ni muhimu pia Kwangu k**a kocha kwasababu wananipa morali ya kufanya vyema kila siku, nawashukuru sana kwa sapoti yao tangu tumefika hapa nchini na nawaomba kesho waje ili tushinde pamoja”

🗣️ Manqoba MNGQITHI

29/08/2026

Tazama Gori safi kutoka kwa TOURE Young Africans Sports Club dhidi ya Pamba jiji

Please follow us YANGA DAIMA

Kikosi chetu Young Africans Sports Club  dhidi ya Pamba jiji Please follow us YANGA DAIMA
28/08/2026

Kikosi chetu Young Africans Sports Club dhidi ya Pamba jiji

Please follow us YANGA DAIMA

Address

Mwanza

Telephone

+255713284501

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YANGA DAIMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category