SOKA kitaani

SOKA kitaani sports updates, betting (2_5)odds
Taarifa za soka ,mikeka odds 2_5

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Yamie Wa Anamoyo Chisoni, Ata Mata, Pembe Shabani, Charle...
03/09/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Yamie Wa Anamoyo Chisoni, Ata Mata, Pembe Shabani, Charles Marwa, Adenias Crian, Daniell Mbawala, Nezia Hedimeni Enelesit, Ndagabwene Manyasi, Ezekiel Dominicus, Ezeking Janser, Fadhil Mtenga, Chifu Mkanj, Mboleka Sadi, Ni Collo, Aman Mbwambwo, Salafina Elisha, Issa M Sinai, Abuu Omaliy, Deej Marley Ke, Nancy Nyamboke, Hadja Happy, Kashinje John, Rahimu Athman, Ninziza Theogene, Boonii Wallaggaa, Cyprian Damian

๐ŸšจUnaingia mtandaoni na stress za mwenye nyumba na madeni ya mangi,Ghafla tu unakutana na utambulisho wa jezi, kutoka kwa...
03/09/2026

๐ŸšจUnaingia mtandaoni na stress za mwenye nyumba na madeni ya mangi,

Ghafla tu unakutana na utambulisho wa jezi, kutoka kwa Fabrizio Romano.

Ujeuri tu wa Wananchi na kujiamulia mambo,

Kwa miaka yangu michache ya kuishi duniani, natambua Yanga Wana sifa tatu..

1. Exclusivity, kwao habari hazivuji k**a nyumba yenye wapangaji walevi,
Utajua wanachotaka ujue, kwa muda wao.

2. Creativity, kwao ubunifu ni Kila kitu, wewe ukitegemea watatambulisha Jezi na mamodo wa Sinza, wao wanavuka mpaka kwa Fabrizio Romano, Ubunifu.

3. Misifa ujeuri na kukera, Jezi kali, utambulisho wa kutisha, afu wanaiba attention yote ya social media.

Yanga, Club above All๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜๐Ÿ”ฅโšก
Hii ni hatari sana wakuuu โœ…๐Ÿ˜‚

Nb; Ni vile tu hamtaki kuambiwa ukweli kuwa hii timu inakwaza

Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC baada ya michezo ya leo.Wananchi, k**a kawaida yao, wameendelea kusalia kileleni.
31/08/2026

Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC baada ya michezo ya leo.

Wananchi, k**a kawaida yao, wameendelea kusalia kileleni.

Ni ndoto ya kila mshambuliaji Tanzania kucheza na Aziz Ki.Kila mshambuliaji anahitaji huduma na malisho bora na miguu ya...
31/08/2026

Ni ndoto ya kila mshambuliaji Tanzania kucheza na Aziz Ki.

Kila mshambuliaji anahitaji huduma na malisho bora na miguu ya Aziz imebarikiwa huo utajiri.

Vision,quick-thinking,timing ya kuachia pasi na Good Positioning awareness vinamfanya Aziz kuwa tishio uwanjani.

Mechi ya kwanza tayari Shasha amenufaika na assist ya Aziz Ki.

Bado hayuko sawa kwa 100% ila assist zimeshanza

Wakati umefika kushuhudia combo ya shashaman na Mr Ki

31/08/2026

Shalulile,๐Ÿ˜โšก

Let's goooo
28/08/2026

Let's goooo

Congratulations ๐ŸŽ‰
27/08/2026

Congratulations ๐ŸŽ‰

Top 20 weekend tipsโœ…๐Ÿ˜๐Ÿ”ฅ
27/08/2026

Top 20 weekend tipsโœ…๐Ÿ˜๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ˜๐Ÿ˜โœ…
27/08/2026

๐Ÿ˜๐Ÿ˜โœ…

Aziz Bado tusubiri kumwona baada ya mechi mbili.
27/08/2026

Aziz Bado tusubiri kumwona baada ya mechi mbili.

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SOKA kitaani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share