Swahili football zone

Swahili football zone Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Swahili football zone, Sports League, Mwanza.

Tayari huko Crdbbankfederationcup robo fainali
17/04/2026

Tayari huko Crdbbankfederationcup robo fainali

16/04/2026

⚽πŸ”₯Maxi mpira nzengeli

K**a mlivyosikia Young Africans 2-0 Mbeya city NBC PREMIER LEAGUE ⚽ || Dube, pacomeDkk || 19'Game on...!!!!
16/04/2026

K**a mlivyosikia
Young Africans 2-0 Mbeya city
NBC PREMIER LEAGUE
⚽ || Dube, pacome
Dkk || 19'
Game on...!!!!

Hii ndio mechi aseeh!! HT || Bayern Munich 2-3 Real Madrid ⚽ GullerΓ—2, MbappeAggregate (4-4)
15/04/2026

Hii ndio mechi aseeh!!
HT || Bayern Munich 2-3 Real Madrid ⚽ GullerΓ—2, Mbappe
Aggregate (4-4)

15/04/2026

⚽ || Libasse gueye
Simba sc 2
Fountain gate FC 0

15/04/2026

Simba sc 1
Fountain gate FC 0
⚽ || Clatous chama

Simba SC wamemrejesha rasmi mchezaji wao Sowah kwenye kikosi cha klabu hiyo baada ya kipindi cha kutokuwa sehemu ya timu...
14/04/2026

Simba SC wamemrejesha rasmi mchezaji wao Sowah kwenye kikosi cha klabu hiyo baada ya kipindi cha kutokuwa sehemu ya timu ya kwanza.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, uongozi wa Simba umeamua kumpa nafasi nyingine mchezaji huyo huku ukimwelekeza kuanza mazoezi na kikosi cha vijana chini ya umri wa miaka 20 (U-20).

Hatua hiyo inaonekana kuwa sehemu ya mpango wa kumjengea upya utimamu wa mwili, nidhamu na kurejesha kiwango chake kabla ya kujiunga tena na kikosi cha wakubwa.

Sowah anatarajiwa kuonyesha uwezo wake katika mazoezi hayo ili kushawishi benchi la ufundi kumpa nafasi ya kurejea kwenye timu ya kwanza katika mechi zijazo.

Kujitutumua kwa faidaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
13/04/2026

Kujitutumua kwa faidaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚

FULL TIME βœ“|| Simba sc 3-1 Dodoma Jiji
12/04/2026

FULL TIME βœ“|| Simba sc 3-1 Dodoma Jiji

Arsenal fansπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
12/04/2026

Arsenal fansπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

 : Mechi ya Singida BS dhidi ya Mbeya City ni mwendo wa magoli tu85’: Simba 3-1 Dodoma Jiji (Seleman Mwalim 54’67’, Anic...
12/04/2026

: Mechi ya Singida BS dhidi ya Mbeya City ni mwendo wa magoli tu

85’: Simba 3-1 Dodoma Jiji (Seleman Mwalim 54’67’, Anicet Oura 60’ / Khleffin Hamdoun 9’)

LIVE

90’: Singida BS 5-1 Mbeya City (Khalid Aucho 16’, Lamine Jarjou 58’, Ibrahim Imoro 62’P 78’, Horso Mwaku 66’/ Daniel William 81’)

LIVE

90’: Namungo FC 0-2 TRA United (Ally Ng’anzi 12’, Denis Nkane 58’)

LIVE

12/04/2026

Nine points clear at the top
Top of the table. 9 points clear. 🫑
Barcelona Γ©s blaugrana!πŸ”₯πŸ”₯

Address

Mwanza
33000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili football zone posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share