28/01/2025
Hello mwanza! We have exciting news !! Take your valentine to an unforgettable evening! Come to watch live amateur boxing matches Friday February 14th ❤️🔥🥊 event will be held at the MTC (bwalo la jeshi) right before Nyegezi corner, just before uhuru parking and across the street from royal oven Nyegezi. Doors open at 6pm. Tickets are available now and also at the gate, VIP 25,000 and general 10,000, limited amount of VIP tickets availible so reserve yours now ! Contact me 0762788750
Habari jamani! Tuna habari njema na ya kusisimua!!Hakikisha unasherekea usiku wa valentine kipekee zaidi!
Karibu kutazama moja kwa moja mechi za mchezo wa ngumi za wazi Februari 14 ❤️🔥🥊 zitakazofanyika katika ukumbi wa MCT(Bwalo la Jeshi) uliopo eneo la Nyegezi Kona Nyamagana Mwanza.
Kuanzia saa 6:00 jioni. Tiketi zinapatikana VIP 25,000 na mzunguko ni 10,000.
Kwa Mawasiliano zaidi 0762788750.
Karibu sana.