21/11/2025
HAKIKA WACHAMBUZI WA SOKA WALIO WENGI HAPA TANZANIA WANATUMIWA NA MAPACHA WA KARIAKOO K**A MACHAWA...... Haha55 ππππ
1. Juzi Yanga wamezindua JEZI zao zitΓ kazotumika 'lakini wachambuzi wengi sana wamezichambua hizo JEZI za YANGA na kuzi Disvalue kuwa hazina ubora na wamekopi kutoka JEZI za Timu ya Taifa ya Brazil mwaka 2004, wengine wakaenda mbali zaidi wazifananisha na mfuko wa NJANO wa sukari ya kagera sugar. (Wachambuzi wanailinda simba )
2. Jana simba wamezindua nao JEZI zao za kimataifa, kwa kuweka logo za ktk JEZI wanazotumia Ligi kuu Tanzania BARA .. lakini wachambuzi haohao walioponda ubora wa JEZI za YANGA ndo wanasifia JEZI za simba ambazo ni zile zile za ligikuu
3. Wengine wakaenda mbali zaidi wanazilinganisha JEZI mpya za YANGA Africans sc na zile za simba sc ambao hawajatoa jez mpya zaidi ya kubadili logo ya mdhamini na logo ya CAF. Bidhaa mpya inashindanishwaje Γ±a Bidhaa kuku? Haha55 ππ (Wachambuzi wanatetea simba kutotoa JEZI mpya za )
4. Wengine wakaja na maandiko k**a GAZETI kwa kuelezea kuwa kampuni hizi; 1. Nike, 2. Puma 3. Adidas n.k huwa hazitoagi JEZI mara mbili ndani ya msimu (hapa wachambuzi wanatetea simbasc) Haha55 πππ
5. Wengine wakasema wanawapa nafasi mashabiki wasiopenda uwepo wa logo ya udhamini wa PILSONER k**a KILEVI Kwene JEZI za simba sc za Ligi kuu Tanzania BARA ... Haha55 ππ
6. Wengine vilabu vikubwa Duniani havitoagi JEZI JEZI mbili kwa msimu? But kwanini Barcelona wametambulisha JEZI mpya ya pili hapo juzi kati??? ... hizi agenda hazina mashiko sababu Timu zetu zinaongozwa na mapato yatokanayo na mauzo ya JEZI. ....... Haha55 πππ
NOTE; WACHAMBUZI WANATUMIA NGUVU KUBWA KUITETEA SIMBA ILE HALI WAMEKOSEAAA..... ALINUKULIWA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY AKIWAAMBIA WANACHAMA NA MASHABIKI WA SIMBA WAAANDAE ORDER YA JEZI MPYA ZA
HONGERENI SANA WANANCHIIIIIIIIIIIII YANGA AFRICANS SC KWA KUZINDUA JEZΓ MPYA ZA
**ashariki