Besca sports updates

Besca sports updates Football updates

The lions 🦁
21/07/2025

The lions 🦁

20/07/2025

Ili mioyo ya wanasimba itulie.
Tuletee Feisal na mudathir💪

Fainali ya CAF Confederation Cup inavyoitesa Simba.Simba inaweza ikapoteza wachezaji wake nyota baada ya kuonekana kweny...
20/07/2025

Fainali ya CAF Confederation Cup inavyoitesa Simba.

Simba inaweza ikapoteza wachezaji wake nyota baada ya kuonekana kwenye mashindano ya CCC.

Baadhi tu ya Wachezaji hao ni

1. Kibu Denis anayetakiwa na USM Algiers.

2. Mohammed Hussein zimbwe Jr

3. Jean Charles Ahoua to Ufaransa

4. ELLIE MPANZU moja ya klabu kubwa hapa Africa na nyingine ya ubelgiji.

5. Che Malone Fondoh

6. Fabrice Ngoma

Hawa wote walikuwa wanaanza kikosi Cha kwanza Cha Simba

Jean Charles Ahoua to Europe 🥲Huenda msimu ujao klabu ya Simba ikampoteza kiungo mshambuliaji wake Jean Charles Ahoua am...
20/07/2025

Jean Charles Ahoua to Europe 🥲

Huenda msimu ujao klabu ya Simba ikampoteza kiungo mshambuliaji wake Jean Charles Ahoua ambaye anatakiwa na klabu ya league 2 ya Ufaransa.

Tayari agent wake yupo nchini Ufaransa kufuatilia Dili Hilo, Endapo makubaliano binafsi yatafikiwa kati wakala wake na timu ndipo ofa itatumwa kwenye timu yake ya Sasa.

Ikumbukwe kwenye mkataba wa Ahoua Kuna kipengele kinamruhusu kuondoka Endapo ofa ya kwenda kwenye klabu nyingine kubwa itatumwa 🤭

HAKUNA MCHEZAJI WA KUDUMU KWENYE TIMU.Kuna wakati unatamani mchezaji flani abaki kucheza kwenye timu Yako pendwa Kwa mud...
19/07/2025

HAKUNA MCHEZAJI WA KUDUMU KWENYE TIMU.

Kuna wakati unatamani mchezaji flani abaki kucheza kwenye timu Yako pendwa Kwa muda mrefu kutokana na ubora wake au namna unavyomhusudu lakini haiwezi kuwa hivyo.

Mchezaji anaweza akaitumikia timu Kwa muda mrefu ila utafika muda ataondoka kwenye timu aidha Kwa yeye kutafuta changamoto sehemu nyingine au kupata maslahi zaidi au pia kutokana na mahitaji ya timu.

Mchezaji k**a Steven Gerrard aliitumikia Liverpool zaidi ya misimu 15 lakini mwisho wa siku akaondoka lakini hakutaka kucheza Epl ili asicheze dhidi ya timu yake. Hivyo mchezaji anapoondoka kwenye timu asichukuliwe k**a adui

Hivi huyu Try again ni Simba au mluki wa Yanga?Sina kumbukumbu ya kuona amevaa jezi ya Simba.Nina wasiwasi huyu anatumik...
19/07/2025

Hivi huyu Try again ni Simba au mluki wa Yanga?

Sina kumbukumbu ya kuona amevaa jezi ya Simba.

Nina wasiwasi huyu anatumika na Yanga kuizoofisha Simba 🥲

OGOPA MATAPELI ELLIE MPANZU HAUZWI 😂😂Wazee wa kusajili wachezaji Kwa tetesi wameshaanza mara wamemsajili MPANZU Mara Moh...
19/07/2025

OGOPA MATAPELI

ELLIE MPANZU HAUZWI 😂😂

Wazee wa kusajili wachezaji Kwa tetesi wameshaanza mara wamemsajili MPANZU Mara Mohammed Hussein 😆😆

Mbona mnapata taabu sana 😆😆

Mi naona ilikuwa heri Chamou aondoke Che Malone Fondoh abaki. Nini maoni Yako ?Kuna wachezaji wanaachwa kwasababu ya pre...
19/07/2025

Mi naona ilikuwa heri Chamou aondoke Che Malone Fondoh abaki.

Nini maoni Yako ?

Kuna wachezaji wanaachwa kwasababu ya presha ya timu na sio kiwango Cha mchezaji mwenyewe. No kweli Che Malone Fondoh amekuwa na makosa ya kujirudia lakini anauwezo mkubwa , kinachomuondoa Che Malone Fondoh ni presha TU ya timu.

Sizani k**a ilikuwa muda mwafaka wa Simba kumuacha Che Malone bali Simba inatakiwa iongeze beki mwingine ilikutoa challenge Kwa mabeki hao wa kati.

,

Jean Charles Ahoua asipopewa tuzo ya kuwa mchezaji Bora wa ligi kuu ya Tanzania NBC premier league basi tuzo zitakuwa za...
17/07/2025

Jean Charles Ahoua asipopewa tuzo ya kuwa mchezaji Bora wa ligi kuu ya Tanzania NBC premier league basi tuzo zitakuwa za mchongo. Namba zinambe

Baada ya kikao kizito kujadili juu ya hatima ya msimu ujaoBoss Mo Dewji na boss Fadlu Devids wamekubaliana maboresho mak...
17/07/2025

Baada ya kikao kizito kujadili juu ya hatima ya msimu ujao

Boss Mo Dewji na boss Fadlu Devids wamekubaliana maboresho makubwa ya kikosi.
Yajao yanafurahisha Simba nguvu moja

Ukiwaona hawa tu uwanjani ujue kazi unayo
03/10/2024

Ukiwaona hawa tu uwanjani ujue kazi unayo

Ellie  mpanzu 🤔Hivi ndivyo alivyokaribishwa msimbazi mazoezini kwenye uwanja wa Mo Arena🥰
03/10/2024

Ellie mpanzu 🤔

Hivi ndivyo alivyokaribishwa msimbazi mazoezini kwenye uwanja wa Mo Arena🥰

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Besca sports updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share