Emanuel John

Emanuel John Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Emanuel John, Sports, Mikocheni, Mpanda.

Follow us kwa taaarifa mpya za michezo na burudani🔥

Follow us for the latest sports and entertainment news🔥

JOURNALIST & CONTENT CREATOR



82;🟥KADI NYEKUNDU LEO ZINAMWAGWA TU! 🇲🇽 Vs 🇿🇦Temba Zwane ametolewa nje kwa kadi nyekundu  Afrika Kusini sasa imesalia na...
11/06/2026

82;🟥

KADI NYEKUNDU LEO ZINAMWAGWA TU! 🇲🇽 Vs 🇿🇦

Temba Zwane ametolewa nje kwa kadi nyekundu Afrika Kusini sasa imesalia na wachezaji TISA.

Kadi mbili nyekundu, na mechi inazidi kuwa ngumu zaidi kwa Bafana Bafana.

Mpaka sasa zimetokewa kadi nyekundu tatu mexico 1 south Africa 2 Leo Leo kazi ipo.

🟥Red card mexico 1-2 Afrika kusini
⚽Gooaal Mexico 2-0 Afrika Kusini

10/06/2026

🚨Chama na moses phili wanajua sana kufunga
Juma mgunda.

09/06/2026

Kwa hiki baasiiiiii wamezingua sana.

09/06/2026

Narudi safari unipokee 🤲🙏

🥷💪🏿
08/06/2026

🥷💪🏿

🇨🇮 Ivorian brothers 🇨🇮   💪🥷
05/06/2026

🇨🇮 Ivorian brothers 🇨🇮 💪🥷

05/06/2026

🤣🤣😅😅

05/06/2026

Tayari tayari tayarii ❤️🤍🥷💪

Siku zimebaki 9 kurejea kwa burudani ya mnyama wapenzi na mashabiki wa simba sc tunasubilia kwa hamu sana kurejea kwa Li...
05/06/2026

Siku zimebaki 9 kurejea kwa burudani ya mnyama wapenzi na mashabiki wa simba sc tunasubilia kwa hamu sana kurejea kwa Ligi kuu.

🚨Naipenda simba zaidi chochote hapa duniani mpaka nahisi kupatwa na uchizi i love you simba♥️🙌Hapa naona k**a Ligi zimec...
01/06/2026

🚨Naipenda simba zaidi chochote hapa duniani mpaka nahisi kupatwa na uchizi i love you simba♥️🙌

Hapa naona k**a Ligi zimechelewa kuanza tena..

Bila Simba SC sijui hili tabasamu ningelitoa wapi?

Address

Mikocheni
Mpanda

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emanuel John posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category