COOP initiative

COOP initiative Cycle Out Of Poverty initiative ( COOP)
Our aim is to bring the right partners to provide small to m

Siku ya jana Maua Mazuri tulipata bahati ya kuwa washiriki katika kongamano la mafunzo ya ujasiriamali na fursa za mikop...
08/07/2021

Siku ya jana Maua Mazuri tulipata bahati ya kuwa washiriki katika kongamano la mafunzo ya ujasiriamali na fursa za mikopo kwa vijana. Vile vile vijana walipata elimu ni jinsi gani wataweza kunifaika na hii .

Kongamano hili lilofanyika Mkoani Kilimanjaro katika kata ya Uru Kusini. Vijana walipata fursa ya kujifunza na kuuliza maswali mengi kuhusu Miche yetu na umuhimu wa kufanya kilimo bora cha kisasa ili kujikwamua katika maskini.
*
*
*

Wadau wa kilimo kutoka maua mazuri, NMB bank, East African fruits na Raha Beverages wakiwa katika meza ya majadiliano ji...
15/02/2021

Wadau wa kilimo kutoka maua mazuri, NMB bank, East African fruits na Raha Beverages wakiwa katika meza ya majadiliano jinsi ya kusaidia watanzania kwa ujumla ili kujikwamua kutoka katika umaskini kupitia kilimo cha ndizi.
Mkulima atapata mkopo kwa riba nafuu kabisa kutoka NMB bank, mbegu bora kutoka maua Mazuri na soko la uhakika kutoka East African fruits na Raha Beverages Co.
Kwa maelezo zaidi wasisliana nasi sasa.

07/01/2021

We are so happy and proud of our partners for the incredible work they are doing on helping people archive their goals through banana farming. Huge thanks to

05/01/2021

Address

Sukari Road
Moshi
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255762032480

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when COOP initiative posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to COOP initiative:

Share