Ally kamwe

Ally kamwe Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ally kamwe, Sports Team, tumbaku, Morogoro.

Clement Mzize ππ€πƒπŽ π˜π”ππŽ 𝐒𝐀𝐍𝐀𝐀..πŸ”°πŸ‘ŠπŸΌTaarifa zaidi Tembelea YANGA APP
28/08/2025

Clement Mzize ππ€πƒπŽ π˜π”ππŽ 𝐒𝐀𝐍𝐀𝐀..πŸ”°πŸ‘ŠπŸΌ

Taarifa zaidi Tembelea YANGA APP


MATOKEO YA MECHI ZA LEO ZA LIGI KUU YA NBC πŸ‡ΉπŸ‡ΏPamba Jiji Fc 1️⃣ βž– 0️⃣ Tabora Utd⚽ 21' James Mwashinga (πŸ…°οΈ Zabona) Mashuja...
05/04/2025

MATOKEO YA MECHI ZA LEO ZA LIGI KUU YA NBC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Pamba Jiji Fc 1️⃣ βž– 0️⃣ Tabora Utd
⚽ 21' James Mwashinga (πŸ…°οΈ Zabona)

Mashujaa Fc 3️⃣ βž– 0️⃣ Fountain Gate Fc
⚽ 32' Jafari Kibaya (P)
⚽️ 49' Idrissa Stambuli (πŸ…°οΈ Kibaya)
⚽️ 77' Seif Kerihe (πŸ…°οΈ Munthir)

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

04/11/2024
🚨 π—›π—’π—‘π—šπ—˜π—₯𝗔 π—˜π—‘π—š. π—›π—˜π—₯π—¦π—œ π—¦π—”π—œπ——Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said  ameshin...
24/10/2024

🚨 π—›π—’π—‘π—šπ—˜π—₯𝗔 π—˜π—‘π—š. π—›π—˜π—₯π—¦π—œ π—¦π—”π—œπ——

Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango kwenye maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika.

Shamrashamra za kutunuku tuzo hizi za Nigeria-France Sports Awards, zilifanyika juzi jijini Paris, Ufaransa na Tuzo hiyo ya Rais Hersi ilipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Mhe.Ali Jabir Mwadini.

Nabi need mayele to kaizer chief
20/10/2024

Nabi need mayele to kaizer chief

...

Shimo ambalo Al ahaly na mamelody wameomba dua wasiingie. Ametumbukia Al hilal na wenzake... Tutaruka nao kwa mapigo ya ...
07/10/2024

Shimo ambalo Al ahaly na mamelody wameomba dua wasiingie. Ametumbukia Al hilal na wenzake... Tutaruka nao kwa mapigo ya kibabe mno
This is our time



Msiwe wanyonge wanangu nimewasikiliza
07/10/2024

Msiwe wanyonge wanangu nimewasikiliza



Timu ya wananchi yapangwa kundi A klabu bingwa... wananchi shangwe tu
07/10/2024

Timu ya wananchi yapangwa kundi A klabu bingwa... wananchi shangwe tu

Kwaheri dada yangu na mwananchi mwenzetu
05/10/2024

Kwaheri dada yangu na mwananchi mwenzetu

Address

Tumbaku
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ally kamwe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category