21/04/2024
Nashukuru sana 🙏🙏🙏 Ni kweli kwamba ndo Tamasha namba Moja Tanzania Upande wa Mashindano ya Kula, Hakuna Tamasha Lingine lililowahi kutokea Tanzania kabla ya TONGE NYAMA TANZANIA kiupekee na uzito.. 🙏🙏🙏
》Tunaamini tukiwajenga wao kiroho tutakuwa tumeikomboa Jamii nzima Mtaani, Maana wao ndo vijana wa kuijenga hiyo jamii Leo.
Morogoro
Be the first to know and let us send you an email when Mbio za Vitambi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.